-->

Daily Archives: February 22, 2016

Wema Ashauriwa Aachane na Wanaume wa Instag...

Post Image

Malkia wa controversy, Mange Kimambi yupo shingoni mwa Idris Sultan akimuelezea kuwa miongoni mwa ‘these young guys wanaoshinda kwenye social media.’ Mange amepost kipande cha video kinachomuonesha Idris akiimba wimbo wa Justin Bieber, Sorry. “I think wote mshaona balaa la Idris na Wema huko snap chat. Idris ndo alieanza vijembe mwishowe Wema kamjibu Kwa kusema […]

Read More..

Linah Alala na Wizkid Hotelini

Post Image

Imefichuka! Hatimaye ishu ya wanamuziki wa Bongo, Estelina Sanga ‘Linah’, kudaiwa kulala kitanda kimoja na msanii wa muziki kutoka Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’, imebumburuka. Baada ya kuandamwa na skendo hiyo ya kutoka kimapenzi na Wizkid huku mashabiki wake waliyo wengi wakishindwa kuamini juu ya uhusiano huo, hatimaye sasa mambo yamevuja na kujidhihirisha kuwa kweli staa […]

Read More..

Kisa Nicki Minaj, Shilole Asaka Ticha wa Ki...

Post Image

Msanii Shilole au Shishi Baby, anatafuta mwalimu wa kumnoa kwenye lugha ya kingereza, ikiwa ni maandalizi ya kuonana na msanii wa Marekani Nicki Minaj. Kwenye ukurasa wake wa Instagram Shilole amendika tangazo akimtaka mtu ambaye ni mwalimu wa lugha hiyo kuwasiliana, ili aweze kuanza mafunzo hayo. “Anatafutwa mwalimu wa kingereza mzuri, jamani huu sio utani […]

Read More..

Lulu Azushiwa Kifo Kwenye Mitandao ya Kijam...

Post Image

Msanii wa filamu Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesikitishwa na watu ambao wamemzushia kifo katika mtandao wa kijamii. Mtandao mmoja uliandika ‘Picha 40 na video za msiba wa msanii wa bongo movie hizi hapa . RIP Elizabeth’. Baada ya kauli hiyo, Lulu kupitia instagram aliandika Nasikia Nimekufa Wewe uliyePost hii. Kama wewe utakuwepo TUTAONANA TENA 2017 […]

Read More..

Filamu ya Kasanga Naye Mwana Yaingia Sokoni...

Post Image

ILE Filamu ya Kasanga naye mwana imeingia leo sokoni na kusambazwa nchi nzima akionge na FC Nassor kutoka kampuni ya Steps Entertainment ya jijini Dar es Salaam amesema kuwa filamu hiyo inaptaikana katika maduka yote ya filamu na Bongo movie Shop kila mkoa. Filamu ya Kasanga Naye Mwana imeingia leo sokoni na inapatikana katika maduka […]

Read More..

Wasanii Wawili Wafariki Bongo Muvi

Post Image

Misiba! Wakati wadau wa Bongo Movies wakiwa kwenye majonzi ya kifo cha Michael Dennis ‘John Woka’, kwenye Bongo nako kuna pigo la kuondokewa na wasanii wawili, Maneno Gongo ‘Mr Gongo’ na Jennifer Vincent ‘Mama Utajiju’. Gongo alifariki dunia wiki iliyopita katika Hospitali ya Muhimbili baada ya kusumbuliwa na presha kwa muda mrefu. Marehemu Gongo aitwaye […]

Read More..

Ray C Afungiwa Hospitalini

Post Image

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ anadaiwa kuwekwa chini ya uangalizi maalum akiwa amefungiwa kwenye Hosptali ya Mwanayamala, Dar baada ya madai ya kurudia matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’. Chanzo makini cha Ijumaa Wikienda kilimshuhudia Ray C akiwa kwenye wodi maalum ya waathirika wa unga huku mama yake mzazi akiwa anamuangalia wakati […]

Read More..