-->

Daily Archives: February 5, 2016

Ray Kigosi Apigilia Msumari Mwingine Kwa Ba...

Post Image

  Ray amesema kuwa, filamu hiyo itatoka kama ilivyopangwa licha ya tuhuma za Batuli, akijitetea kuwa, hawezi kushindwa kumlipa mtu mmoja na kufanikisha kuikamilisha kazi hiyo waliyoifanya miaka 3 iliyopita tayari kwa kuiingiza sokoni. Ray pia akatolea ufafanuzi hisia zilizoanza kujengeka kuwa, wametengeneza ugomvi huo na Batuli ili kuipatia kiki kazi yao, kitu ambacho amekipinga […]

Read More..

Nisha Awa Balozi wa New Hope Family Group

Post Image

MSANII wa Filamu hapa nchini, Salma Jabu ’Nisha’ amekuwa Balozi wa Kikundi cha New Hope Family Group chenye makazi yake Kigamboni Dar kinachojihusisha na masuala ya kutetea watoto waishio katika mazingira hatarishi. Hafla ya kumtambulisha msanii huyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) ambapo mwenyekiti wa taasisi hiyo, Omary Kombe, amesema lengo […]

Read More..

Mzee Majuto Apagawishwa na Kimwana-KIBOKO K...

Post Image

Short Video Clip Movie: Kiboko Kabisa Genre: Bongo Movie Comedy Production: Nisha Production Cast: Mzee Majuto, Nisha, Jada, Neema wa 20%, Hemedy Chande Writer: Lamata Leah Director: Lamata Leah Release date: 29 January 2016 Distributors: Step Entertainment

Read More..

Basata Yaifungulia Makucha Miss Tanzania

Post Image

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limefungua makucha na kuitaka kampuni ya LINO waandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania kurudimezani na kamati ya mashindano hayo ambayo ilijitoa wiki kadhaa nyuma kushiriki katika mashindano hayo ambayo awali yalikuwa yamefungiwa. Basata leo wametoa ujumbe kuwataka LINO na kurudi mezani na kuangalia namna bora ya kusonga mbele kwa kuweka […]

Read More..

‘Simba’ Amfanya Alikiba Ashindwe Kufany...

Post Image

Jana pande za SlipWay ,Ali Kiba alizindua video yake ya Lupela lakini mipango yake ilikuwa ni kufanya uzinduzi wa video hiyo kwenye mbuga za wanyama. ‘’Nilitamani sana kwenda kufanya ndani ya mbuga ili I’make sense’ zaidi ili ‘honey’ wangu Lupela ainjoy zaidi lakini kiukweli ilikuwa ni uoga wangu tu,asije akatokea simba halafu Lupela akafia pale […]

Read More..

Masanja Mkandamizaji Kufungua Kituo Chake c...

Post Image

Mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameweka wazi mpango wake wa kufungua kituo cha Radio na TV ambavyo atavisimamia yeye mwenyewe. Akizungumza na 255 katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm Alhamisi hii, Masanja alisema tayari ameshapata mafunzo ya uandishi wa habari ili kujifunza kuhusu kuendesha vituo hivyo. “Yeah nimepanga kufungua kituo changu […]

Read More..

Aliyedaiwa Kumbaka Shilole Afunguka Mazito!

Post Image

KATIKA maho-jiano na Mwandishi nguli wa burudani nchini wa Gazeti la Ijumaa, Erick Evarist, Februari 2012, msanii Zuwena Mohammed ‘Shilole’ alinukuliwa akieleza kisa hiki: “Katika maisha yangu nimepitia mitihani mingi, mmoja wapo ni huu wa kulazimishwa kufanya mapenzi bila ridhaa yangu, kwa kifupi nilibakwa.” Kwa kuwa kisa hiki cha kusikitisha kimesemwa sana na Shilole katika […]

Read More..

Mpoto, Muhogo Mchungu Wahimiza Usomaji wa V...

Post Image

WASANII wa fani mbalimbali wametoa wito kwa wananchi na wanafunzi kuwa na desturi ya kujisomea vitabu vya lugha ya Kiswahili ambavyo vitawasaidia kukuza lugha hiyo. Akizungumza jana katika uzinduzi wa kitabu cha fasihi cha ‘Mwele bin taabani’, kilichoandikwa na aliyekuwa Mbunge wa Mchinga, Mudhihir Mudhihir, msanii Mrisho Mpoto alisema kuwa kama Watanzania wanahitaji lugha hiyo […]

Read More..