-->

Daily Archives: February 15, 2016

Jux Asema Jack Clif Yupo ‘Okay’ Hana Ta...

Post Image

Ikiwa ni zaidi ya miaka kadhaa tangu mrembo Jack Clif kukamatwa china,kuna vitu vingi ambavyo bado havijajulikana, lakini kumbe jux huwa anafanya naye mawasiliano. ‘’Huwa tunafanya mawasiliano ingawa sio mara kwa mara ..she is okay..yuko sawa..nimewasiliana naye kama miezi miwili iliyopita ..siwezi kuongelea sana vitu vingine..hata hivyo yeye mwenyewe hapendi niwe naongea ongea na watu […]

Read More..

Aunty Ezekiel na Moze Iyobo Wapigana Kibuti...

Post Image

Msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mwandani wake Moze Iyobo, na kuibua hisia kuwa huenda wawili hao wamemwagana siku ya valentine. Msanii wa filamu za Bongo Aunty Ezekiel maarufu kwa jina la mama Cookie siku hizi, ameonekana akiwa mbali na mwandani wake […]

Read More..

Picha: Mapokezi ya Diamond Lodwar Turkana K...

Post Image

Mamia ya wakazi wa Lodwar, Turkana Kenya walijitokeza hiyo jana kumpokea mkali wa muziki wa Afro-Pop kutoka Tanzania, Diamond Platinum ambaye alikutua mapema hiyo jana kwenye uwanja wa ndenge wa Lodwar. Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi hayo.  

Read More..

Mwakifamba: Hakuna wa Kufikia Kiwango cha K...

Post Image

RAIS wa Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF), Simon Mwakifamba, amesema hakuna atakayeweza kufikia kiwango cha marehemu Kanumba katika sanaa. Alisema sababu kubwa ni kwamba, msanii huyo alikuwa na uthubutu na alijitoa kwa lolote katika kazi zake tofauti na wasanii wa sasa. Pia Mwakifamba aliongeza kwamba, sanaa nchini inaendelea kukumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa […]

Read More..

Kisa Utajiri Wenye Maswali, Zari Atajwa Fre...

Post Image

Mwandani wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ameorodheshwa kwenye listi ya watu maarufu nchini Uganda ambao ni wanachama wa jamii ya siri ya Freemason kisa kikielezwa kuwa ni utajiri alionao wenye maswali mengi. Habari kutoka Kampala, Uganda zilizoripotiwa hivi karibuni zilieleza kwamba, mwanamama huyo ana ukaribu mkubwa na matajiri […]

Read More..

Siwezi Kurudiana na Nay wa Mitego – S...

Post Image

Ikiwa imepita siku moja toka Nay wa Mitego kupost picha ya Shamsha Ford kwenye mitandao yake ya kijamii ikiwa na ujumbe wa ‘Happy Valentine’ hususani siku ya wapendanao mwanadada Shamsha Ford amefunguka na kusema kuwa kamwe hawezi kurudiana kimapenzi na msanii huyo wa bongo fleva ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake wa ‘Shika Adabu yako’, […]

Read More..

Hatimaye Jide Apewa Talaka Rasmi Kortini

Post Image

BAADA ya mvutano wa muda mrefu, hatimaye diva wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ amepewa talaka rasmi kwenye Mahakama ya Manzese, Sinza jijini Dar. Jide alifungua kesi ya madai ya talaka katika mahakama hiyo baada ya kutofautiana na mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Captain’, aliyekuwa mumewe wa ndoa kabla ya kumwagana takriban miaka […]

Read More..