-->

Daily Archives: February 25, 2016

Hizi Ndizo Fursa Kumi Alizozitaja Ruge Mut...

Post Image

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,Ruge Mutahaba leo amezitaja  Fursa Kumi kupitia kipindi cha Power Breakfast na Clouds360 cha Clouds Tv. “Kwanza anatakiwa kusikiliza #FursaKumi, lakini pili lazima ajitambue yeye, bila Nyota Ndoto kujua yeye ni mwanamuziki mzuri au ana kipaji cha kuimba leo isingefikia hatua ya msanii Nyota Ndogo kutoka, nadhani kikubwa […]

Read More..

Diamond Afungukia Juu ya Video Yake Ya ‘M...

Post Image

Baada kudaiwa Video yake mpya ‘Make Me Sing’ kufanana na ya Lil Wayne,’Make Me Sing’ Diamond amefunguka haya. ‘’Watu wanashindwa kuelewa kila kitu ambacho kinafanyika katika muziki sasa hivi kwenye videos kwenye kuimba na kila kitu,mashairi vilishafanyika,vilishaimbwa,kushutiwa kama vinafanyika ni marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye kwa sababu ukisema nakupenda watu […]

Read More..

Ni Bora Nitoke na Msukuma Mkokoteni – Ray C

Post Image

Mwanamuziki ambaye alijipatia umaarufu kutokana na uchezaji wake na kupewa jina la kiuno bila mfupa Ray C amefungukana na kusema kwa sasa hataki kabisa kutoka kimapenzi na msanii yoyote au mtu maarufu. Ray C amesema hayo kupitia kipindi cha eNews na kusema toka ameachana na msanii Lord Eyes hajawahi kuingia tena kwenye mahusiano na kudai […]

Read More..

Lulu Adaiwa Kulipiwa Mahari

Post Image

Wakati akikanusha vikali taarifa mbaya za kuzushiwa kifo mwishoni mwa wiki iliyopita na watu ambao alisema hajui lengo lao, habari ya heri ni kwamba, staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, (pichani) anaelezwa kuwa kwenye shamrashamra za ndoa baada ya kudaiwa kulipiwa mahari na mfanyabiashara maarufu jijini Dar (jina linahifadhiwa kwa sasa).   Kwa […]

Read More..

Nilianguka Bahati Mbaya Kama Binadamu-Ray C

Post Image

Msanii maarufu nchini wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila, amesema watu wasimhukumu kwa hali aliyo nayo sasa kwani alianguka kama binadamu wengine . Ray C ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha Planet bongo kinachorushwa na kituo cha EATV . ”Nilianguka bahati mbaya kama binadamu wengine ,nikajitambua sasa nipo vizuri naendelea na maisha […]

Read More..

Ray: Kama Huamini Sikulazimishi, Mi Maji Ya...

Post Image

HIVI kari-buni gumzo kubwa mitaani pamoja na kwenye mitandao mingi ya kijamii ilikuwa juu ya staa wa Bongo Muvi, Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kudai kuwa kunywa maji mengi kunamfanya aendelea kuwa mweupe. Kauli hiyo alianza kuitoa katika mahojiano aliyofanyiwa katika Kipindi cha E-News kinachorushwa na EATV ambapo alisema kwamba huwa anakwenda saluni mara moja […]

Read More..