-->

Daily Archives: June 9, 2017

Video : Q Chief Amtabiria Mazito Chid Benz

Post Image

Msanii Q Chief amefunguka kwa kudai ameamua kumrudisha tena mkali wa ‘free style’ Chid Benz katika ulimwengu wa muziki. Q Chief amebainisha hayo baada ya kusambaa picha mtandaoni zilizokuwa zinawaonyesha wawili hao wakiwa studio ambapo watu wengi walianza kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu ndani yake. “Chid Benz ni moja kati ya ma-rapa ambao wanahistoria kubwa […]

Read More..

Jina Lamtesa Aunty Ezekiel

Post Image

STAA wa filamu za Bongo, Aunty Ezekiel, ameweka wazi kwamba kipindi cha mfungo wa Ramadhan kinapofika kila mwaka hujikuta akiona aibu kula hadharani, kutokana na jina lake la Rahma alilolitumia kipindi alipobadili dini. Aunty aliwahi kubadili dini wakati alipoolewa na Sunday Demonte, anayetumikia kifungo cha miaka kumi jela huko Abu Dhabi. “Mimi ni Mkristo, ila […]

Read More..

Afande Sele Atoa Neno kwa Wavuta Sigara na ...

Post Image

Msanii Afande Sele amefunguka na kusema kama Taifa tunakila sababu ya kuendelea kuwaombea watu wanaovuta sigara na walevi wa pombe kwa kuwa kila mwaka ndiyo watu ambao wanaibuka vinara kwenye kuchangia kulijenga taifa kwa mapato. Afande Sele amesema hayo baada ya jana Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango kuwasilisha bungeni mapendekezo ya makadirio […]

Read More..

Zari Kuishi Kwenye Nyumba ya Ivan Au Diamon...

Post Image

KAMATI ya watu wanne walioteuliwa kushughulikia namna ambavyo mali za marehemu Ivan Ssemwanga zitasimamiwa, imempa mpenzi wa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Zari Hassan, moja ya nyumba za marehemu huyo iliyopo nchini Afrika Kusini ili aishi na watoto wake. Kwa mjibu wa mtandao wa Kenya moja, kamati hiyo iliwajumuisha Ritah Ssemwanga (dada wa Ivan), […]

Read More..

Mapenzi Kando, Nafanya Kazi – Jacquel...

Post Image

Diva wa Bongo Movie Jacqueline Wolper amesema kuwa haoni haja ya kuwa na mahusiano kwa wakati huu, japo kuwa wanaume wengi wenye pesa wamekuwa wakimsumbua kumtaka kimapenzi, na kwamba anaamini ni wasumbufu tu na hawana mapenzi ya kweli. Wolper  amefunguka hayo karibuni na kusema kwama  kutokana na upendo wa kweli anaojitahidi kumuonyesha mwanaume anapokuwanaye kwenye […]

Read More..

Mama Diamond Afungukia Diamond Kuhusishwa n...

Post Image

Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka. Kupitia kwenye U-heard ya XXL ya Clouds FM leo June 9, 2017 mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na […]

Read More..