-->

Muonekano Mpya wa Nywele za Kijani za Ben P...

Post Image

Wakati wabongo wakiendelea kumshambulia mitandaoni kwa aina ya mtindo wa kupaka rangi za kijani kwenye nywele zake, Msanii Ben Pol ameneemeka na staili hiyo kwani ameshalamba dili nono na kampuni ya Green Telecom inayojihusisha na masuala ya mawasiliano na IT. Ben Pol amethibitisha taarifa hizo kwenye mahojiano yake na Bongo5 ambapo amesema ni kweli amepata […]

Read More..

Fid Q Amuweka Wazi Mpenzi Wake Awapiga Stop...

Post Image

Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa  mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi. Fid Q amesema ameamua kupost picha kwenye mitandao yake  ya kijamii ili kupunguza wasichana wengine kumtumia meseji za kumsumbua lakini pia kuwaonyesha mashabiki zake kwamba kwa sasa yupo katika […]

Read More..

Huu Mwaka Una Mambo Mazuri Utakuwa Mwaka wa...

Post Image

February 5, 2018 Staa wa Bongofleva na President wa WCB Diamond Platnumz azidi kuwaahidi mashabiki zake vitu vikubwa kuhusu muziki wa Bongo Fleva kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu wa 2018 ameyasema haya kupitia account yake ya instagram. Ambapo mwanzoni wa mwaka huu wa 2018 ameanza kwa kumtambulisha rasmi Mbosso WCB pamoja na kazi yake […]

Read More..

VideoMpya: Nimeipata hii ya Fally Ipupa ame...

Post Image

Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Marekani R. Kelly katika wimbo wake ‘Nidja Karibu uitazame hapa

Read More..

Lulu Diva Apokonywa Kila Kitu na Mpenziwe

Post Image

IMEVUJA! Ukiachana na habari ya kudaiwa kupangishiwa nyumba na kununuliwa gari mpya aina ya Jeep na kigogo, imebainika kuwa msanii huyo amepokonywa kila kitu alichokuwa amepewa na mpenzi wake wa zamani aitwaye Joho. Hivi karibuni, Lulu Diva aliripotiwa kuwa amepangiwa nyumba na kupewa gari jipya ambapo aliibuka sosi mwingine na kudai kuwa Lulu si mkweli, […]

Read More..

SHAMSA Ford Afunguka Kuhusu ndoa yake..Adai...

Post Image

MSANII mwenye uwezo mkubwa anapokuwa mbele ya kamera Shamsa Ford, amefunguka kuwa kama angeamua kufuata mambo ya mjini na kujivika ustaa mwingi kama wafanyavyo wengine ingewezekana mpaka leo hii ndoa yake isingekuwepo kabisa. Akizungumza na gazeti hili Shamsa, alisema kuwa ameamua kujishusha kabisa kwasababu anaamini kwenye ndoa hakuna ufundi wala ustaa wowote zaidi ya kujiheshimu […]

Read More..

VideoMPYA: “Tuheshimiane” kutoka k...

Post Image

Baaada ya muda na kimya kirefu hatimae leo msanii Mr. Nice katuletea ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Tuheshimiane”, chini ya uongozi wa Pizzo Mtena ikiwa imetengenezwa na I Studio. Bofya hapa chini kuitazama

Read More..

Ukweli Kuhusu Zawadi ya Gari Aliyoahidi Har...

Post Image

Utakumbuka mapema mwaka huu msanii Shilole alifanya harusi mara baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake, Uchebe. Mastaa kibao walimzawadia vitu mbali mbali, miongoni mwao ni Harmonize ambaye aliahidi kumnunulia Shilole gari aina ya Noah. Hata hivyo Shilole amesema bado hajakabidhiwa gari hilo ila Harmonize kamdhibitishia kuwa ameshalinunua na kilichobaki ni makabidhiano mbele ya vyombo […]

Read More..

Mume wa Shilole Aukana Usangoma

Post Image

MUME wa mwanamuziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ Ashrafu Uchebe amekana kuwa mganga (Sangoma) wa kutumia vitabu na kuweka wazi kuwa kazi yake ni ufundi wa magari. Maelezo hayo yamekuja kutokana na madai yaliyokuwa yumeenea kwamba, mbali na kufanya mambo mengine lakini pia anatibu kwa kutumia Quran na amekuwa akifanya hivyo tangu alipokuwa Zanzibar. Akizungumza na Risasi […]

Read More..

Multichoice imekuja na THE PUNGUZO- Miezi m...

Post Image

Punde tu baada ya kumaliza ofa mahsusi ya kufunga mwaka, MultiChoice Tanzania imetangaza neema kwa wateja wake wapya watakaojiunga kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo watajipatia ofa ya kifurushi kwa muda wa miezi miwili bure! THE PUNGUZO- Ni Kwa shilingi 79,000 tu, mteja anapata vifaa vyote vya kujiunga na DStv ikiwemo Dish, Dikoda, Rimoti, […]

Read More..

Ishu ya Tunda, Aunt Ezekiel Iko Hivi!

Post Image

AREMBO wa Bongo hawajawahi kuwa salama wala kumuacha mtu salama. Safari hii mambo ni moto kwelikweli kwa mastaa wawili wa kike, Aunt Ezekiel na Tunda. Wadada hao wenye mvuto wa kipekee ndani ya Bongo, wamelianzisha kinoma huko kwenye mitandao ya kijamii na hali kwa sasa si shwari. Ishu yao ilianza kama utani vile, lakini baadaye […]

Read More..

Tumenusurika kumwagwa damu – Shilawadu

Post Image

Kupitia mtayarishaji wa kipindi cha Shilawadu kinachoruka Clouds Tv, Benedict Noel amebaisha kuwa kazi ya kukusanya material ya kipindi hicho ni kigumu kutokana na mambo wanayopitia wakati wa kutafuta habari ya kipindi husika. Mtayarishaji huyo amebaibsha hayo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram wa kipindi hicho kwa kuandika mambo wanayokutana nayo na waliyokutana nayo hivi […]

Read More..

Bongo Movies Kuonyeshwa Kwenye ‘Porta...

Post Image

Mwaka mpya mambo mapya, Steps Entertainment imeleta portable cinema ambayo inawawezesha wapenzi wa filamu kujionea filamu kwenye screen kubwa ikiwafata mtaani. Jionee picha hizi za hivi karibu kwenye viwanja vya jangwani.  

Read More..

Dude Afunguka ‘Kumpiga’ JB

Post Image

Mwigizaji Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude amefunguka na kudai ameshawahi kumuingiza mjini msanii mwenzake Jacob Stepheni (JB) kwa kumtapeli laki moja na thelathini japokuwa mwenyewe alifahamu. Dude ameeleza hayo kwenye Big Chawa ndani ya kipindi cha Planet Bongo ya East Afrika Radio baada ya kuulizwa ni msanii gani amekaa kizembe zembe ambaye anaweza akatapeliwa […]

Read More..

Msanii Radio afariki dunia

Post Image

Uganda. Msanii wa muziki wa nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu Radio amefariki dunia jana  alhamisi saa sita asubuhi. Mwandaaji wa matamasha, Balaam Barugahara alimthibitishia mwandishi wa Dailly Monitor kuwa msanii huyo alifariki wakati akiendelea na matibabu hospitalini. Msanii huyo ambaye alikuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel, tangu Januari 23 mwaka huu hali yake ilikuwa mbaya […]

Read More..

Mume Ampiga Stop Shamsa Mitandaoni

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford anadaiwa kupigwa stop kutumia mitandao ya kijamii na mumewe, Chid Mapenzi na kwa muda sasa haonekani hasa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambako aliwaaga kabisa mashabiki zake. Chanzo kilieleza kwamba Chid Mapenzi alimpiga marufuku mkewe Shamsa kutumia mitandao ya kijamii kwa kuwa muda mwingi alikuwa akiutumia kwenye […]

Read More..

VIDEOMPYA: Lulu Diva-amezoea

Post Image

Msaani Lulu diva kaachia video mpya,inaitwa “amezoea”. BOFYA PLAY KUITAZAMA

Read More..

Monalisa Aliamsha Tuzo za Kimataifa

Post Image

MWIGIZAJI mwenye mvuto nchini, Yvonne Cherryl ‘Monalisa’, amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo zinazojulikana kwa jina la The African Prestigious Awards akigombea kama mwigizaji Nyota wa Kike wa Mwaka. Washindi wa tuzo hizo hupatikana kwa kupigiwa kura na mashabiki na Monalisa amewaomba mashabiki wake kutomwangusha. “Ninawaomba mashabiki wangu wote kwa jumla kunipigia kura ili niweze kubeba […]

Read More..