-->

Daily Archives: February 24, 2016

Nay wa Mitego Awachukulia R/B Wanaomfuatili...

Post Image

MKALI wa Bongo Fleva, ambaye wimbo wake wa ‘Shika Adabu Yako’ umefungiwa na Baraza la Sanaa Nchini (Basata), Emmanuel Elibariki ‘Ney wa Mitego’, ameibuka na kudai kwamba ameamua kuchukua R/B kituo kidogo cha polisi ili kuwadhibiti watu anaodai wanamfuatilia kwa nia ya kumtendea mabaya. “Kiukweli sina ugomvi na mtu na hii ni dunia haina siri, […]

Read More..

Alikiba Aeleza Kwanini Hakuweza Kumuoa Mwan...

Post Image

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.   Hitmaker huyo wa Lupela alikiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo. “Unajua hauwezi kumuoa mtu kama hamuelewani. Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mmoja toka nilipoanza. Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda mnagombana anapata mtu […]

Read More..

Mkwanja wa Dili la Voda ni Fifty-Fifty Kati...

Post Image

Wiki kadhaa zilizopita, Diamond Platnumz alisaini mkataba wa mamilioni ya shilingi kuwa balozi wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania.   Dili hilo limemfanya muimbaji huyo wa ‘Make Me Sing’ aonekane kwenye matangazo ya TV, yale ya barabarani, kwenye magezeti na vipeperushi vingine pamoja na kusikika kwenye matangazo ya redio. Kwenye tangazo la TV, si […]

Read More..

Maisha Yangu Sasa ni Magumu – Ray C

Post Image

Mwanadada ambaye alifanya vizuri kwenyesekta ya muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema kuwa maisha yake kwa sasa ni magumu. Ray C alisema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa kupitia ting’a namba moja kwa vijana EATV, Ray C amedai kuwa kuna muda mwingine analazimika kuvaa hijabu kujificha ili aweze kupanda daladala na […]

Read More..

Masogange na Wenzako Tumieni Ujana Wenu Viz...

Post Image

KWAKO Agness Gerald ‘Masogange’ pamoja na wenzako wengi ambao baadhi yao nitawataja kwa majina hapo chini. Nawasalimu katika jina la Bwana, vipi mko poa? Mnajionaje na hali? Mishe zenu zinakwenda kama kawaida? Mkitaka kujua afya yangu, mimi namshukuru Mungu. Naendelea vizuri. Nazidi kupambana ndani ya huu mjengo mkubwa wa Magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers Ltd. […]

Read More..