-->

Monthly Archives: October 2016

Kufanya Collabo na Man Fongo ni Hadi 2020- ...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva nchini TID amesema atakuwa tayari kufanya kazi na msanii maarufu wa Singeli nchini Man Fongo ifikapo mwaka 2010 na siyo kwa sasa. TID ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV kila siku ya Ijumaa, na kuweka bayana kwamba kwa sasa ana mambo mengi na kzi nyingi […]

Read More..

Diamond Amuombea Kura Alikiba,MTV EMA 2016

Post Image

Kuna uwezekano mkubwa kukawa hakuna bifu kati ya Alikiba na Diamond lakini wapo wachache wanaokuza hilo jambo kwa maslahi yao binafsi. Diamond ameonekana kulipa fadhila kwa Alikiba baada ya kumuombea mashabiki wampigie kura kwenye tuzo ya MTV EMA 2016 akiwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki anayewania tuzo hiyo.   Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo […]

Read More..

Jengua Afunguka Haya Kuhusu Kukuza Vipaji v...

Post Image

Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama Jengua amefunguka na kusema anaweza kufanya filamu hata bure ili kuwasaidia wasanii wachanga waweze kutoka katika tasnia ya filamu nchini. Amesema anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa ni lazima waweze kukuza watu wengine kwenye tasnia ya filamu kwani wao umri umeshakwenda. Mzee Jengua alisema hayo kwenye […]

Read More..