-->

Daily Archives: December 16, 2016

Tunda Man Atoa ya Moyoni Kuhusu Babu Tale

Post Image

Msanii Tunda Man ametoa ya moyoni kuhusu meneja wake Babu Tale ambaye pia anaisimamia Tip Top, kutokuwa karibu nao kama siku za nyuma. Akizungumza na East Africa Television, Tunda Man amesema ni ukweli usiopingika kuwa Babu Tale haithamini Tip Top kama siku za nyuma, na ni kitendo ambacho kinamuumiza sana msanii huyo. Pia Tunda Man […]

Read More..

Mwaka Huu Nilitingwa na Masomo-Lulu

Post Image

Msanii  wa bongo movie Lulu ambaye alipata nafasi ya kutoa tuzo ya  muigizaji bora wa kike kwenye tuzo za EATV ya mwaka huu amesema hakuweza kushiriki katika tuzo hizo kwa kuwa 2016 haukuwa mwaka wake wa kazi na kwamba alikuwa ametingwa na masomo. Hata hivyo Lulu amesema kwa mwakani 2017 atakuwa nje ya masomo  hivyo mashabiki zake […]

Read More..