-->

Daily Archives: December 18, 2016

Shilole Ndiye Aliyenitongoza – Hamadai

Post Image

Msanii wa bongo fleva Hamadai ambaye  aliwahi kuwa mpenzi wa msanii mwenzake Shilole amezungumza na eNewz na kutokwa na povu kuwa, Shilole ndiye aliyeanza kujipendekeza kwake na kumsumbua kwa muda mrefu akitaka wawe wapenzi. Hamadai ni msanii mchanga wa bongo fleva ambaye watu wengi walimfahamu mara baada ya kuwa katika mahusioano na Shilole. Amesema kuwa kwa […]

Read More..

Mwana FA Akiri ‘Kutia Chumvi’ K...

Post Image

Mkongwe wa Rap ndani ya Bongo, Mwana FA, amesema siyo kila kitu alichoimba kwenye ngoma yake inayotikisa hivi sasa ya ‘Dume Suruali kina uhalisia, huku akikiri ‘kutia chumvi’ nyingi kwenye wimbo huo. FA amefunguka hayo alipokuwa kwenye show kubwa ya kila Ijumaa saa 3;00 ya FNL inayoruka kupitia EATV, na kuwatoa hofu mashabiki wake hususani […]

Read More..

Picha: Alikiba Ashiriki Kwenye Mechi ya Sok...

Post Image

Kama isingekuwa muziki, huenda Alikiba angekuwa mmoja wa vinara wa timu kubwa za soka nchini, zikiwemo Simba au Yanga. Baada ya mechi, Alikiba alitunikiwa tuzo ya mchezaji bora staa Pamoja na kufanya muziki, Alikiba hutumia muda wake mwingine kujikumbushia kipaji chake cha soka, na ndio maana Jumamosi hii alishiriki mechi ya hisani ya mchezo huo […]

Read More..