-->

Daily Archives: December 13, 2016

Gabo Ajifananisha na Trump

Post Image

Muingizaji wa Bongo Movie Gabo ambaye alishinda tuzo mbili usiku wa EATV AWARD ikiwemo tuzo ya muingizaji bora wa kiume na filamu bora ya mwaka amesema anajiona kama Donald Trump baada ya kushinda tuzo hizo.   Akipiga story ndani ya eNewz, Gabo amesema anaamini kwa sasa ni wakati wake na matumizi sahihi ya akili ndo yanaweza kukupeleka popote unapotaka […]

Read More..

Alikiba Sina Tatizo na Dully Sykes

Post Image

Mkali wa wimbo Aje Alikiba baada ya kuondoka na tuzo tatu za EATV, amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na msanii mkongwe wa muziki na producer, Dully Sykes. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuenea kwa taarifa za muda mrefu katika mitandao ya kijamii kwamba wawili hao hawaelewani. Katika usiku wa tuzo za EATV, Dully ndiye aliyemtangaza […]

Read More..

Baraka The Prince Amsajili Lord Eyes

Post Image

Msanii Baraka The Prince ametangaza rasmi kuanzisha label yake na kutaja wasanii wakubwa wawili ambao wapo chini ya label yake hiyo. Akiongea katika kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio Baraka The Prince amesema kuwa rasmi rapa Lord Eyes amesaini chini ya label yake inayofahamika kama ‘BANA’  na kusema ameamua kumchukua Lord Eyes kutokana […]

Read More..

Kajala Afunguka Haya Kuhusu Yeye na Petit M...

Post Image

Hapo zamani za kale, Kajala Masanja na Petit Man walikuwa wapenzi. Infact, wakati Kajala yupo jela, Petit alikuwa kama malaika wake aliyetumwa na Mungu kwakuwa alimhudumia kwa kiasi kikubwa. Lakini baadaye kila mmoja aliendelea na maisha yake ikiwemo Petit kumuoa dada yake Diamond, Esma. Lakini siku za hivi karibuni, wawili hao wameonekana kuwa karibu tena […]

Read More..