-->

Daily Archives: December 8, 2016

Wamevujisha Wimbo Kuniharibia – Q Chief

Post Image

Mkali wa Rnb na Zouk Tanzania Q Chief amefunguka na kutoa malalamiko yake kwa baadhi ya watu ambao wamevujisha wimbo wake mpya kwa lengo la kumuharibia soko la muziki wake kuuza katika njia za mitandao. Q Chief muda mrefu alisema ameshafanya kazi na msanii kutoka nchini Nigeria Patoranking na kuanza promo kama maandalizi ya kutoa […]

Read More..

Bwana Misosi Amwimbia Rais Magufuli

Post Image

BAADA ya kimya cha muda mrefu katika muziki, msanii Joseph Lushalu ‘Bwana Misosi’, ameamua kurudi kwa nguvu na wimbo wa kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Wimbo huo unaoitwa ‘Makofi kwa Magufuli’, umeimbwa chini ya ushirikiano kati yake na msanii Nuruel. “Nimekuja na ujio mpya wa funga mwaka kwa […]

Read More..

Darasa: Kilichotokea Kwa Dereva ni Mzuka Il...

Post Image

KUFUATIA madai kwamba dereva aliyeacha usukani na kukucheza wimbo wa ‘Muziki’ ulioimbwa na msanii Sharif Ramadhani ‘Darasa’ akishirikiana na Bernard Paul ‘Ben Pol’ huku gari likiwa katika mwendo kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kuhatarisha maisha ya wasafiri na watumiaji wengine wa barabara, msanii wa wimbo huo ametahadharisha mashabiki wake. “Kilichotokea kwa dereva aliyeacha usukani […]

Read More..

Nay wa Mitego: Biashara ya Mimi na Mr T Tou...

Post Image

Nay wa Mitego anaweza akawa anamiss midundo ya producer wake wa zamani, Mr T Touch lakini hana mpango wa kufanya naye tena kazi. Tangu waache kufanya kazi pamoja, rapper huyo amekuwa kimya kiasi na huenda akawa bado hajapata producer mwingine wa kuziba pengo lake. Akizungumza na mtangazaji wa Jembe FM, JJ, Nay amesema kuwa biashara […]

Read More..