-->

Daily Archives: December 4, 2016

PICHA: Nuh Mziwanda na Mkewe Wanatarajia Ku...

Post Image

Siku 21 baada ya msanii wa Bongofleva Nuh Mziwanda atangaze kufunga ndoa na mchumba wake, December 1 2016 ndoa yao imeingia kwenye headlines mpya ambazo awali zilianza kuenea kama tetesi tu. Nuh Mziwanda na mpenzi wake walifunga ndoa November 10 2016 huku tetesi zikiwa zimeenea mtaani kuwa wameamua kufunga ndoa baada ya mchumba wa Nuh Mziwandakupata […]

Read More..

Christian Bella:Sipendi Kufanya Kolabo

Post Image

Mkali wa masauti Christian Bella amefunguka kwa kusema kuwa hapendi kufanya sana kolabo kwani zinamfanya azoeleke zaidi na mashabiki wake. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi atakuwa anafanya kolabo chache ambazo zitakuwa na faida kubwa katika muziki wake. “Mimi sipendi sana kufanya fanya kolabo kwa sababu lazima nimlinde Christian Bella,” alisema Bella. “Siwezi kuwa […]

Read More..

Soko la Gigy Money Lipo Huku Kwasasa

Post Image

Video Queen Gigy Money amesema kwa sasa wasanii wachanga wanamgombania kutaka atokelezee kwenye video zao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Gigy Money amedai wasanii hao wanaamini akitokelezea kwenye video zao na wao watakuwa wametoboa. “Kusema kweli sasa hivi underground wananisumbua sana,” alisema Gigy Money. “Wengi wanaamini nikishiriki kwenye video zao ‘nitawakikisha’ na watatoboa. Lakini nashukuru […]

Read More..