-->

Daily Archives: December 29, 2016

Mashabiki Wananigombanisha na Gabo – Duma

Post Image

Hivi karibuni kumekuwepo na maneno ya chini kwa chini kuwa washindani wawili waliokuwa kwenye kipengele kimoja katika tuzo kubwa zilizoteka Afrika Mashariki za EATV Gabo na Duma kuingia kwenye bifu zito baada ya Gabo kuchukua tuzo zote mbili. Imekuwa kama desturi kila baada ya tuzo fulani kutolewa kuibuka maneno mbalimbali kutoka kwa washindani au mashabiki, […]

Read More..

Hawa Ndiyo Wanawake Waliong’ara 2016

Post Image

Tunaendelea na wanawake waliong’ara mwaka 2016 kwa kutoa maelezo kigo kuhusu walichofanya. Khadija Mwanamboka Wengi wanamfahamu Khadija Mwanamboka kutokana na tasnia ya mitindo. Alikuwa miongoni mwa wabunifu waliohamasisha Watanzania kuvaa mavazi yanayotengenezwa na wabunifu wa hapa nchini. Mwaka 2016, aligeukia upande mwingine na kujihusisha zaidi na biashara ya chakula. Kupitia chapa yake ya Vitu vya […]

Read More..

Jennifer Mgendi Kuja na albamu Mpya Pamoja ...

Post Image

Msanii mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Jennifer Mgendi baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu anajipanga kuachia albamu yake mpya iitwayo,’Nyuma ya Mlima’. Muimbaji huyo ambaye amewahi kutamba na wimbo Mchimba Mashimo, Nalia na nyingine nyingi, amesema kuwa ameamua kuachia albamu hiyo kama zawadi ya kuwatia moyo mashabiki wake wanaopita katika magumu mbalimbali. “Nina […]

Read More..

Wivu wa Harmonize Wamfanya Wolper Kupokea S...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Jackline Wolper amekutana na kamera ya eNewz lakini katikati ya mahojiano alipokea simu ya mpenzi wake Harmonize kitendo ambacho kiliwaziba watu wengi midomo kutokana na wawili hao kudhaniwa kuwa hawakuwa wapenzi kweli. Pia amemzungumzia mpenzi wake huyo na kusema kuwa ana wivu sana ndiyo maana hajaona shida kupokea simu yake katikati ya interview ili […]

Read More..