-->

Daily Archives: December 7, 2016

Mkubwa na Wanawe Wamekuja na Matobo Kutok...

Post Image

KUNDI la muziki wa kizazi kipya la Madada Sita, ambalo lenye makazi yake Temeke jijini Dar es salaam, limeachia wimbo wa Matobo ambao wanaamini utakuja kulifanya kundi hilo kuwa miongoni mwa kundi bora la wanamuziki wa kike. Akizungumza kiongozi wa kundi hilo, Christina Peter (Favell), alisema wamejipanga kufanya kazi bora ambazo zitafanya wanamuziki wengi kuunda […]

Read More..

HATARI! Kumbe Rose Muhando ana Balaa Namna ...

Post Image

Unapowazungumzia wasanii wa nyimbo za injili ambao ni maarufu Afrika Mashariki na kati basi jina la Rose Mhando halitakosekana. Rozi amejizolea umaarufu kutokana na staili yake ya kuimba kwa hisia na ukweli kwamba suala la kutawala jukwaa huwa halimsumbui kabisa. Hata hivyo, katika siku za karibuni Rozi amekaa kimya huku akiacha maswali kwa mashabiki wa […]

Read More..

Idris Kukimbiza na ‘Karibu Kiumeni’ Bon...

Post Image

MSHINDI wa shindano la Big Brother Idris Sultan ametamba kwa kusema kuwa kipaji chake ni kikubwa sana katika fani nyingi lakini kwa upande wa uigizaji anaamini kuwa yupo vinzuri sana na ameingia rasmi kwa ajili ya kuwapoteza nyota waliopo katika tasnia ya filamu kwani anajiamini na ana uwezo mkubwa katika uigizaji na ameingia rasmi kupitia […]

Read More..

Washindi Kutunisha Misuli Kulamba Zaidi ya ...

Post Image

CHAMA cha Watunisha Misuli Tanzania (TBBF), kimepanga kutoa ajira kwa vijana watakaoshinda kwenye shindano la kutunisha misuli litakalofanyika Desemba 8, mwaka huu. Katibu Mkuu wa Chama hicho, Francis Mafungilo, alisema lengo la kufanya shindano hili ni kusaidia kuwaondoa vijana katika umaskini na makundi maovu. Mafungilo alisema mshindi wa kwanza katika shindano hilo atazawadiwa Sh milioni […]

Read More..

Young Dee Aeleza Sababu ya Kufanya Video na...

Post Image

Rapa Young Dee ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Furaha’ amefunguka na kuweka wazi sababu kubwa iliyompelekea yeye kufanya kazi na mwanamitindo Tunda. Young Dee akiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio alisema kuwa aliamua kufanya video hiyo na Tunda kwa sababu kwanza ni mtu ambaye yupo naye karibu hivyo […]

Read More..