-->

Daily Archives: December 19, 2016

Msambwanda Wangu wa Kinyakyusa Nimezaliwa N...

Post Image

Staa wa bongo fleva Witness aka Kibonge mwepesi  amewajia juu mashabiki wanaomsema vibaya kutokana na umbile lake, na kusema wanachukia kuona wanapendana na mpenzi wake Ochu Shegy licha ya ubonge alionao.   Kwenye ukurasa wake wa Instagram Witness ameandika waraka akiwaambia watu hao kuwa hajali wasemayo, kwani umbile lake hilo amezaliwa nalo na sio la […]

Read More..

Calisah: Wema Sepetu Ana Mapenzi ya Kweli

Post Image

Mwanamitindo aliyejipatia jina mwaka huu kutokana na kuwa na uhusiano wa muda mfupi na Wema Sepetu, Calisah, amemwelezea muigizaji na Miss Tanzania huyo wa zamani kuwa ni msichana mzuri na mwenye mapenzi ya kweli. Calisah ameiambia Bongo5 kuwa Wema ni msichana wa pekee. “Wema ni msichana mzuri, ana upendo, ni mwelewa, ana mapenzi ya kweli, […]

Read More..

Sijawahi Kulala kwa Shilole – Nedy Music

Post Image

Msanii wa bongo fleva kutoka PKP chini ya Ommy Dimpoz amefunguka kuhusu tuhuma za yeye kuwa na mahusiano na msanii mwenzake Shilole, na kusema kuwa hajawahi kuwa mahusiano na mwana dada huyo zaidi ya urafiki wa kawaida. Nedy akiwa katika kipindi cha FNL cha EATV alisema taarifa za kuwa yeye ni miongoni mwa vijana waliotongozwa na […]

Read More..

Gabo: Mtindo wa Maisha Yangu ni Tofauti na ...

Post Image

Msanii Gabo Zigamba ameweka wazi kuwa hana tofauti na wasanii wenzake kama ambavyo imekuwa ikilalamikiwa na wengi kuwa msanii huyo haelewani na wenzake. Akizungumza na East Africa Television, Gabo amesema kinachomfanya aonekane ana tofauti na wasanii wenzake ni utoafuti wa mtindo wa maisha alionao, lakini hana tatizo nao na anawapenda kwa dhati. “Hakuna msanii ambaye […]

Read More..

Filamu ya Naomba Niseme Yachaguliwa Tuzo Ku...

Post Image

FILAMU bora kabisa ya Naomba Niseme iliyotayarishwa na Staford Kihore imeendelea kufanya vizuri katika tuzo mbalimbali na matamasha baada ya kuchaguliwa kwa mara nyingine katika tuzo kubwa Afrika za African Magic Viewers Choice Awards 2017, sinema hii fupi inapambana na filamu za watayarishaji wengine wakubwa. Historia inaonyesha kuwa filamu nyingi ambazo zimekuwa zikipenyeza katika matamasha […]

Read More..