-->

Daily Archives: December 24, 2016

Nay wa Mitego Amzawadia Gari Mama Yake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Sijiwezi’ ameamua kumnunulia mama yake mzazi gari katika siku yake ya kuzaliwa kama zawadi ili iwe inamsaidia mzazi wake huyo na mtoto wake wa kiume kwenda sokoni. Nay wa Mitego akiongea kwenye kipindi cha eNewz amedai mwezi uliopita ndiyo ilikuwa siku ya kuzaliwa kwa […]

Read More..

Mambo 10 ya Kukumbukwa 2016

Post Image

ZIMEBAKI takribani siku saba kabla ya mwaka huu kufikia ukingoni na kuukaribisha mwaka mpya wa 2017. Kwa hakika mwaka 2016 umekuwa wa matukio mbalimbali kwenye tasnia ya burudani Bongo. Kwa wiki tatu sasa mfululizo tumekuwa tukikuletea matukio tofautitofauti yaliyopata kutokea tangu kuanza kwa mwaka huu. Tayari tumeshaona mastaa waliofunga ndoa, ndoa zilizovunjika na mabifu yaliyotingisha. […]

Read More..

Muziki Umenipa Mafanikio Kuliko Filamu-Shil...

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Shilole amefunguka na kusema kuwa mafanikio yake aliyopata kwenye muziki kama angeendelea kufanya filamu anaamini asingeweza kuyapata kabisa. Shilole anasema anashukuru Mungu aliweza kumshtua mapema ili akimbie kwenye filamu na kukimbilia kwenye muziki kwani huku kwenye muziki ndiko pesa zake zilikuwepo ambazo ndani ya muda mfupi amezipata na kufanya […]

Read More..

Harmonize Afunguka Haya Kuhusu Penzi Lake n...

Post Image

Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amekanusha kuachana na mpenzi wake Jacqueline Wolper baada ya hivi karibuni kuzagaa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa wawili hao wameachana. Madai hayo yalichukua sura mpya wiki chache zilizopita baada ya malkia huyo wa filamu kudaiwa kufuta picha za mkali huo wa wimbo Bado katika mtandao wake wa instagram. […]

Read More..

Aunt Ezekiel Afunguka Sababu ya Kutamani Ku...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel amedai kuwa anatamani tena ajifungue mtoto wa kike kwa mara ya pili kwani watoto wa kike kuwa nao ni pesa. Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live Aunt Ezekiel aliweka wazi kuwa watoto wa kike ni pesa ingawa hakutoa ufafanuzi ni pesa kwa namna gani lakini anasema anatamani ajifungue […]

Read More..