-->

Daily Archives: December 5, 2016

Chiki ‘Ampigia Magoti’ JB

Post Image

Msanii wa bongo movie  Chiki Mchoma amesema JB hana sababu ya kustaafu kuigiza kwa kuwa ni mtu ambaye bado sanaa inamuhitaji na kuna wasanii wachanga na wakongwe wanamuhitaji kwa ushauri zaidi. Akiongea kupitia eNewz Chiki amesema anamkumbusha JB kurudi bongo movie kwa kuwa sanaa haina kustaafu na kama kuna malengo ambayo aliyaweka yakawa hayajatimia asikate tamaa arudi kuendeleza […]

Read More..

Nisha:Hii Mimba Sio ya Baraka Baraka The Pr...

Post Image

Muigizaji wa filamu Salma Jabu ‘Nisha’ amedai kuwa endapo ujauzito wake ungekuwa wa Baraka The Prince kama inavyosemwa na wengi basi ungetoka wenyewe mapema kwa kuwa muimbaji huyo ni miongoni mwa wanaume asiowapenda duniani. Akizungumza katika kipindi cha FNL cha EATV, Nisha amesema siri ya mimba yake anayo moyoni na hana haja ya kumtaja mwanaume […]

Read More..

Uzinduzi wa Filamu ya Siri ya Moyo Watikisa...

Post Image

UZINDUZI wa filamu ya Siri ya moyo iliyotengenezwa na mwigizaji mahiri na mtayarishaji wa filamu Bongo Salum Saleh ‘Man Fizo’ ulifana na kuwa ni kivutio kwa wapenzi wa sinema za kitanzania baada ya watu wengi kujitokeza na kufurahia kazi hiyo ambayo imeshieikisha wasanii nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood, sinema hiyo imeonyesha ubora wa kazi […]

Read More..

Ommy Dimpoz Amshauri Alikiba Amuoe Kidoti

Post Image

Alikiba na Jokate Mwegelo wanaogelea katika bahari ya huba japo hawataki kualika wageni kujumuika nao – penzi lao ni la faragha. kadri siku zinavyozidi kwenda, ndivyo mizizi ya uhusiano wao inazidi kumea licha ya kuendelea kuuwekea tinted kuepusha karaha! Licha ya kuwa ya kuwa wachoyo wa kuuweka wazi uhusiano, marafiki zao wa karibu wana access […]

Read More..

Bongo Movie Tumekuwa Kama Nyumbu – Gabo

Post Image

Msanii wa filamu nchini Tanzania ambaye anatajwa kuchukua nafasi ya marehemu Steven Kanumba, Gabo Zigamba, amesema kinachoikwamisha tasnia ya filamu nchini ni kukosa umoja kwa wasanii wa movie kiasi cha kukubali kupelekwa pelekwa kama nyumbu. Gabo ambaye pia ni mmoja kati ya washiriki wanaowania tuzo za EATV, alitoa somo hilo mwishoni mwa wiki alipokuwa akijibu […]

Read More..