-->

Daily Archives: December 27, 2016

Christian Bella Awachambua Diamond na Aliki...

Post Image

Msanii wa Band maarufu kama mkali wa masauti Bongo Christian Bella amezungumzia timu ambazo ziko mitandaoni kati ya Alikba na Diamond kusema kuwa Alikiba ana uzuri wake na Diamond ana uzuri wake kwa kuwa kila mtu anafanya vizuri kwa upande wake. “Diamond ana uzuri wake na Alikiba ana uzuri wake wote na mimi siko kwenye label […]

Read More..

Madee Aumizwa na Picha za Chid Benz Mtandao...

Post Image

Madee ameonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya watu kumpiga picha Chid Benz na kuzisambaza mtandaoni. kupitia mtandao wa Twitter ametoa yake ya moyoni kwa kusema kuwa kitendo cha kumpiga picha rapper huyo na kumuanika mitandani ni kumdhalilisha. “Hawa wanaompigapiga picha @ChidiBeenz na kupost kwenye mitandao yao lengo lao kubwa ni nini?mbona tunazid kumdhalilisha?au mnataka […]

Read More..

Siwezi Tena ‘Ku-kiss’ – Aunty Ezekiel

Post Image

Star wa Bongo Movie nchini mwanadada Aunty Ezekiel, amerudi upya kwenye tasnia hiyo huku akiweka wazi baadhi ya mabadiliko aliyoyafanya katika maisha yake kuwa ni pamoja na kutoweza tena ‘ku-kiss’ kwenye movie atakazocheza. Aunty ambaye kwa sasa amerejea na movie mpya inayokwenda kwa jina la Chritmass Eve, amesema kilichomfanya afikie maamuzi hayo ni majukumu aliyonayo […]

Read More..

Mastaa Hawa Wataoana 2017?

Post Image

WAKATI wakielekea kumaliza mwaka 2016 bila ndoa, wasanii hawa wamekuwa mvuto mkubwa kwa mashabiki wao huku wengi wao wakiwatarajia ndoa kwa mwaka ujao wa 2017. Diamond na Zari Mapenzi ya msanii Nassibu Abdul (Diamond) na mwanadada kutoka Uganda, Zarinah Hassan (The Boss lady), yameboreshwa zaidi baada ya kuishi zaidi ya miaka mitatu na kupata watoto […]

Read More..