-->

Daily Archives: December 1, 2016

Shilole Akanusha Kumfahamu Msanii Huyu

Post Image

Msanii wa bongo fleva Shilole amesema hajawahi kuwa na msanii zaidi ya Gaucho katika kampuni yake ya Shilole Entertainmet na hamfahamu wala kumjua Mona Star. Akiongea kupitia eNewz Shilole amesema Gaucho ni mdogo wake na hajawahi kuwa na mahusiano yeyote ya kimapenzi zaidi ya mahusiano ya kikazi na swala la mapenzi haliwezi kutokea baina yao kwa […]

Read More..

Jimmy Master Aingia na Filamu ya Foundation...

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu za mapigano Bongo Jimmy Mponda ‘Jimmy Master’ ameamua kusambaza kazi yake ya Foundation kufuatia mikataba inayobana watayarishaji na wasanii kutoka kwa wasambazaji wengine hivyo msanii huyo mkongwe na mahiri katika sinema za mapigano anasimama mwenyewe kuingia sokoni. Filamu ya Foundation imengia jana sokoni na inapatikana nchini kote katika maduka ya […]

Read More..

Jaydee Kuweka Wazi Kuhusu Ndoa Yake

Post Image

KUFUATIA sintofahamu kwa mashabiki wake kuhusiana na tetesi za kufunga ndoa na kwenda mapumziko visiwani Zanzibar, mwanamuziki, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ anatarajia kuweka wazi suala hilo hivi karibuni. Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja wa mwanamuziki huyo, Seven Mosha, hakutaka kuzungumzia suala hilo, huku akisisitiza kwamba Lady Jaydee mwenyewe ataliweka wazi suala hilo hivi karibuni. “Habari […]

Read More..

‘Upcoming’ Wameharibu Soko la B...

Post Image

Mkongwe wa bongo movie Sandra amewachana wasanii wanaoingia katika tasinia ya bongo movie kwa malengo ya kupata umaarufu ili wapate njia za kufanya mambo yasiyofaa katika jamii kupitia umaarufu walioupata. Akiongea ndani ya eNewz Sandra amesema watu wanaopata skendo mbaya kupitia umaarufu walioupata ndani ya bongo movie wanasababisha kupoteza heshima za wasanii wanaojiheshimu lakini pia inaharibu tasnia […]

Read More..