-->

Daily Archives: December 6, 2016

Kajala Masanja : JB Ana Mchango Mkubwa Kwen...

Post Image

Msanii wa filamu Kajala Masanja amesema haikuwa kazi rahisi kwake kufika hapo alipofikia bila ya mchango wa msanii mkubwa wa filamu nchini, Jacob Stephan aka JB. Muigizaji huyo ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaowania Tuzo za EATV 2016, alishare siri ya mafanikio yake mbele ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Kampasi ya […]

Read More..

COSOTA Yataja Runinga Mbili, Redio Moja Zin...

Post Image

KATI ya redio zaidi ya 100 na runinga zaidi ya 20 zilizopo nchini, ni vituo vitatu tu vikiwamo vya Mlimani tv, Azam tv na Joy Fm ya Kigoma ndivyo vilivyolipa mirabaha kwa kutumia kazi za wasanii nchini. Mkaguzi wa Hakimiliki kutoka Chama cha Hakimiliki Tanzania (Cosota), Paul Mabula, alisema kutokana na kukumbwa na changamoto nyingi […]

Read More..

Picha: Zari na Diamond Wapata Mtoto wa Kium...

Post Image

Hatimaye Zari The Bosslady na Diamond wamefanikiwa kumpata prince wa familia aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa. Mtoto huyo amezaliwa saa 10 na 35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6. Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini. Tayari Diamond na Zari wameonesha picha za mtoto huyo japo hawajaweka […]

Read More..

Darasa Atoboa Siri ya Muziki Wake Kukubalik...

Post Image

MSANII wa miondoko ya hip hop nchini, Sharif Ramadhan, amesema siri iliyopelekea nyimbo zake kukubalika ni kutambua wanachotaka mashabiki wa muziki wake. Darasa aliliambia MTANZANIA kwamba katika ushindani wa sasa, msanii hatakiwi kukurupuka, bali anatakiwa atambue mashabiki wake wanataka nini na kwa wakati gani. “Mwanzo nilikuwa nikitoa nyimbo zenye vionjo vyenye ujumbe wa kutosha lakini […]

Read More..

Wakati Zari Akitarajiwa Kujifungua Muda Wow...

Post Image

Wakati mpenzi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan akiwa ‘leba’ tayari kwa kujifungua mtoto wa pili wa kiume kwa nyota huyo, meseji mbalimbali zikiambatana na picha zimezidi kutrend kupitia mitandao ya kijamii hasa Instagram nyingi zikimtakia heri katika zoezi hilo. Zari aliyepelekwa ‘leba’ jana katika Hospitali ya Netcare Pretoria iliyopo […]

Read More..