-->

Daily Archives: December 20, 2016

Nisifieni Kabla Sijafa – Said Fella

Post Image

Meneja wa wasanii na kiongozi wa ‘Mkubwa na Wanawe’, ambaye pia ni diwani wa kata ya KilunguleĀ Said Fella au Mkubwa Fella, amewataka watu kutambua mchango wake kabla hajafa badala ya kuponda jitihada zake Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, SaidĀ Fella amesema watu wamekuwa wanaongoza kumsema vibaya badala ya kumsifia na kumpongeza, kwani kazi […]

Read More..