-->

Daily Archives: December 21, 2016

Nay wa Mitego: Nitamsaidia Chid Benz Nikish...

Post Image

Mkali wa Bongo Fleva,Nay wa Mitego amefunguka kuwa yupo kwenye mipango ya kumsaidia rapper Chid Benz kutoka kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Nay amekiambia kipindi cha Dj Shows cha Radio One kuwa anajaribu kumsaidia Chid lakini akishindwa basi haitokuwa bahati yake. “Nadhani tuwaombee watu mabaya tuwaombee kwa mazuri arudi kwenye amani kama ilivyo kwa […]

Read More..

Shamsa Ford Kuzaa ‘Kijiji’

Post Image

WAKATI watu wa kada mbali-mbali wakielezea uwepo wa hali ngumu ya kiuchumi nchini, Muigizaji Shamsa Ford ambaye miezi michache iliyopita aliolewa, amesema anataka kuzaa watoto wengi (kijiji) wapatao saba, tena kwa haraka haraka. Akizoza na mwanahabari wetu, Shamsa alisema hivi sasa yupo katika harakati za kuusaka ujauzito kwa hali na mali, kwani licha ya mambo […]

Read More..

Q Chief Atoa Siri ya Wasanii Kutoacha ̵...

Post Image

Msanii Q Chief amefunguka na kusema kuwa baadhi ya wasanii kushindwa kuachana na matumizi ya dawa za kulevya ni kutokana na wao wenyewe kutokubaliana na hali hiyo kutokana moyoni mwao. Q Chief pia ametoa lawama kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijifanya kuwasaidia wasanii hao kuachana na madawa wakiwa na lengo la kutaka kunufaika nao […]

Read More..