-->

Daily Archives: December 28, 2016

Saida Karoli Anavyoibadili Bongo Fleva

Post Image

KWA miaka kadhaa sasa, maoni ya mashabiki wengi wa Muziki wa Kizazi Kipya ilikuwa ni kuingiza aina ya staili ya nyimbo za Afrika Magharibi, hususan Nigeria. Baadhi yao, wakatabiri mwanzo wa mwisho wa Bongo Fleva. Wengi waliona Bongo Fleva ya zamani ni nzuri kuliko ya sasa. Ya sasa ikionekana nyimbo zao hazidumu, yaani nyepesi, pili […]

Read More..

Msimu Mpya wa Siri za Familia Umerejea Kwa ...

Post Image

ILE Tamthilia maarufu inayotamba kwa sasa ya Siri za Familia ambayo urushwa na kituo cha Televisheni cha East Africa Television (EATV) imekuja sehemu ya pili kwa msimu mpya huku ikitabiriwa kuteka zaidi wapenzi wa tamthilia Swahilihood baada ya kufanya vizuri katika msimu uliopita. Akiongea na FC mtunzi wa Siri za Familia Said Mkukila ameiambia FC […]

Read More..

Nuh Mziwanda Kuja na Khadja Kopa

Post Image

Msani Nuh Mziwanda amefunguka na kuweka wazi mipango yake ya mwakani 2017 na kusema kuwa tayari mpaka sasa amejipanga na ngoma kibao kali. Nuh Mziwanda akiongea kwenye kipindi cha Planet bongo alisema kuwa anatambua kuwa mashabiki zake wanasubiri ngoma mpya lakini kwa mwaka huu hataweza kuachia kazi mpka mwezi wa kwanza ambapo ataachia kazi yake […]

Read More..