-->

Daily Archives: December 26, 2016

Papaa Misifa Amuwashia Moto Upya Rich Mavok...

Post Image

Meneja maarufu wa wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Papaa Misifa, ameibuka na kuzidi kumuwashia moto Msanii Rich Mavoko ambaye kwa sasa anafanya kazi na lebo ya Wasafi. Misifa akiwa ndani ya FNL alisema Mavoko hana adabu na ni miongoni mwa wasanii wasiokuwa na shukrani kwa yale aliyowafanyia kwa kuwa yeye ndiye aliyewatoa na […]

Read More..

Uchambuzi wa Bongo Movie Mwaka 2016 Part 1

Post Image

TAKRIBANI miaka 21 ya Tasnia ya Filamu Tanzania katika ukuaji wake tasnia  imekuwa ikukua kila mwaka na kupata mabadiliko mbalimbali, ndani ya miaka 16 sasa baada ya kuingia katika utayarishaji wa filamu kibiashara kumekuwa na mafanikio na changamoto nyingi, makala ya uchambuzi wa Tasnia ya filamu kwa mwaka huu 2016. Historia ya tasnia ya filamu […]

Read More..

Pichaz: Walichokifanya WCB hapo jana Uwanja...

Post Image

Jana katika kusherekea sikukuu ya Christmas,timu nzima ya WCB na wasanii wake wakiongozwa , Diamond Platnumz, walioangusha show kubwa kwenye viwanja vya Samora mjini Iringa. Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jione picha hapo chini.

Read More..

Solo Thang Asikitishwa na Hali ya Chid Benz

Post Image

Msanii mkobgwe wa rap hapa bongo, Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu. Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na […]

Read More..