-->

Daily Archives: March 13, 2017

Vanessa Mdee Aachiwa kwa Dhamana

Post Image

Baada ya kushikiliwa na polisi kwa takriban siku 4, Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana Jumatatu hii. Vanessa ambaye alishikiliwa muda mfupi baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini ni miongoni mwa mastaa waliotajwa kwenye orodha ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kutokana kuhusishwa na matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Inadaiwa […]

Read More..

VIDEO:RC Makonda Azindua Barabara Ya Shimo ...

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda amezindua barabara ya Shimo la Udongo, Kilwa EPZ iliyopo kurasini ya Kilomita moja; Iliyojengwa kwa kiwango cha zege na kampuni ya wazalendo ya Grant Tech iliyogharimu takribani milioni 350.

Read More..

VIDEO:Harmonize Ataja Sababu za Kutoendana ...

Post Image

MSANII wa kwanza kusainiwa kwenye Lebo ya Muziki ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinumz, Harmonize kwa mara ya kwanza amefunguka akitaja sababu ambazo wadau na mashabiki wamekuwa wakinong’ona kuwa haendani na mpenzi wake wanaedaiwa kuachana, msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper. Akipiga stori na Global TV Online, juzi Jumamosi kwenye studio za WCB zilizopo Sinza […]

Read More..

Sugu, Profeja Jay Wameshindwa Au Wameweza?

Post Image

WANAMUZIKI wa Hip Hop pengine ndiyo wanaoongoza kwa tambo. Sikiliza mahojiano yao. Mbali na kujisifu kuwa wanajua sana kuandika mambo ya maana kuliko wasanii wa aina nyingine za muziki, ila watakuambia wao wanawakilisha mitaa. Wanajiona ni zaidi ya wabunge na madiwani. Wanajiona wana sauti pana za kuwafikia watu na zenye mamlaka pengine kuliko hata waandishi […]

Read More..

VIDEO: Amber Lulu Apatwa Kigugumizi Kisa Ha...

Post Image

Video queen na msanii wa bongo fleva Amber Lulu amepatwa na kigugumizi baada ya kuulizwa kuhusiana na kutoka kimapenzi na Harmorapa na kujikuta akipata wakati mgumu kuelezea jambo hilo. Amber Lulu alihojiwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusema picha zinazozangaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha yeye na Harmorapa ni picha […]

Read More..