-->

Daily Archives: March 3, 2017

Operesheni ya viroba inaendelea- Majaliwa

Post Image

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema operesheni kuhusu pombe za viroba inaendelea katika mikoa mbalimbali baada ya kupigwa marufuku Machi Mosi. Majaliwa amesema hayo katika kikao cha Baraza la Mawaziri cha kwanza tangu Serikali kuhamia mjini hapa. Amesema katika operesheni hiyo wamegundua mambo mengine ikiwamo uwapo wa kampuni zilizokuwa hazilipi kodi. Kuhusu kikao hicho cha […]

Read More..

Ommy Dimpoz aeleza jinsi pressure ya kuepuk...

Post Image

Hadi unausikia wimbo wa msanii umetoka, kuna vikao vingi hufanyika nyuma ya pazia katika tu kuhakikisha kuwa hatoi wimbo unaoweza kumwaibisha. Wengi huyapa masikio mengi zaidi ya kuusikiliza wimbo na kutoa maoni kabla ya kuutoa. Hiyo ni moja ya pressure kubwa waliyonayo wasanii kwa sasa hasa waliofanikiwa kwasababu wanahofia kuachia wimbo mbovu lakini pia kutokana […]

Read More..

Wema Sepetu Kwenda Arusha Kuonana na Godble...

Post Image

Kamanda Wema Sepetu Jumamosi hii ataelekea mkoani Arusha kwajili ya kuonana na mbunge wa Arusha, Godbless Lema ambaye ameachiwa kwa dhamana Ijumaa hii baada ya kusota gerezaji kwa miezi nne. Muigizaji huyo ambaye ana wiki moja na nusu ndani ya Chadema toka arudishe kadi ya CCM, amedai kesho atasafiri kwenda mkoani Arusha kuonyesha ushirikiano. “Mungu […]

Read More..

Alikiba Kujaza ‘Wa Kimataifa’ K...

Post Image

Msanii Alikiba ameingia katika orodha ya miongoni mwa wasanii wanaotarajia kufanya mapinduzi ya muziki kwa mashabiki zao kwa kutoa albam. Baada ya kutua katika Jiji la Dar es Salaam akitokea nchini Afrika Kusini siku ya jana, ‘King’ Kiba aliwashukuru mashabiki zake kwa upendo walioonesha kwake kwa kumsubiria muda mrefu bila ya kukata tamaa na kusema endapo mambo […]

Read More..

Jike Shupa Aununua Ugomvi wa Batuli, Wema!

Post Image

VIDEO Queen Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ameibuka na kudai kuwa, hawezi kumuacha shoga yake Wema Sepetu ashambuliwe halafu yeye abaki kimya kwani anaamini anayoyafanya yuko sahihi hivyo anatangaza kuununua ugomvi. Jike Shupa aliyasema hayo juzikati baada ya kuibuka kundi la wasanii wa Bongo Muvi na kumshambulia Wema baada ya kujiunga Chadema ambapo inadaiwa sasa hivi […]

Read More..

VIDEO: Hatimaye Lema Aachiwa kwa Dhamana

Post Image

Hatimaye Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia kwa dhamana Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema baada ya kusota gerezani kwa zaidi ya miezi minne. Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia hoja za pande zote mbili zilizowasilishwa mahakamani hapo leo na kuamua kuzitupitilia mbali hoja za upande wa serikali za kumnyima Lema […]

Read More..