-->

Daily Archives: March 15, 2017

Niliitwa na Kuhojiwa Kuhusu Dawa za Kulevya...

Post Image

Mtoto wa Rais mstaafu wa Tanzania wa awamu ya nne, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema ameshahojiwa na kamisheni ya kupambana na dawa za kulevya na kukutwa hana hatia kuhusu tuhuma za kujihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya iliyokuwa ikimkabili. Mbunge huyo wa Jimbo la Chalinze ambaye pia ni mwanasheria, jina lake lilitajwa kwenye list […]

Read More..

Upelelezi Kesi ya Wema Mbioni Kukamilika, Y...

Post Image

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kukutwa na bangi inayomkabili Msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu (28) na wenzake wawili akiwemo mfanyakazi wake wa ndani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upo katika hatua za mwisho kukamilika. Wakili wa Serikali Constantine Kakula ameeleza hayo leo (Jumatano) mbele ya Hakimu […]

Read More..

Hivi Ndiyo Vitu 3 Vilivyomvutia Wolper kwa ...

Post Image

Jacqueline Wolper amevitaja vitu vitatu ambavyo vimemvutia kuwa kwenye mahusiano na Harmonize. Muigizaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, vitu hivyo ni upole wake, ukarimu pamoja na kuijua dini. “Upole, Ukarimu na anapenda dini na anaijua dini kabisa. Mimi naamini asingekuwa mwanamuziki angekuwa maalimu fulani hivi,” amesema Wolper. Wakati huo huo Harmonize kwa […]

Read More..

Juma Nature Hajanifanyia Poa – Harmorapa

Post Image

Msanii Harmorapa amewaomba wasanii wakubwa waliopo kwenye ‘game’ ya muziki kuacha tabia ya kuwapiga mkwanja mkubwa ‘underground’ wakati wanapoenda kuwaomba kufanya nao ‘collabo’ Hayo yamekuja baada ya msanii huyo kuombwa pesa ya mavazi na Juma Nature kwaajili ya kufanyia ‘shooting video’ jambo ambalo kwa upande wake limemkwaza kwa namna moja ama nyingine. “Haipo sawa kwa wasanii […]

Read More..