-->

Daily Archives: March 6, 2017

VIDEO: Fid Q Asimulia Enzi za Zamani za Bon...

Post Image

Miaka ya nyuma, Bongo Records kwa Tanzania ilikuwa label ambayo msanii akiwa chini yake alikuwa akionekana kama mfalme, kwa mujibu wa Fid Q. Hakikuwa kitu cha mzaha kumridhisha P-Funk Majani hadi akuweke kwenye roaster ya wasanii wake. Akizungumza na Lil Ommy wa Times FM kwenye kipindi cha The Playlist, Fid alielezea mashavu waliyokuwa wakiyapata wasanii […]

Read More..

VIDEO:Mose Hakukosea kwa Harmorapa – Aunty

Post Image

Muigizaji Aunty Ezekiel amemtetea mpenzi wake (Mose Iyobo) kwa kumfananisha na nyani msanii chipukizi anayefananishwa na mmoja wa wasanii kutoka WCB  (Harmo Rappa) kwa kusema ni sawa kabisa na Mose hakufanya makosa.   Hivi karibuni akiwa kwenye Kipindi cha KIKAANGONI cha Facebook EATV Aunty amesema kwamba watu walimnukuu vibaya Mose na kumhukumu moja kwa moja […]

Read More..

Sijaona Wakumlinganisha na Alikiba – ...

Post Image

Rapa ambaye amejizolea umaarufu sana kupitia mitandao ya kijamii Harmorapa amefunguka na kusema kwa Tanzania hii hajaona msanii wa kumfananisha na Alikiba na kusema hata ngoma yake ambayo amefanya na Juma Nature alitaka kufanya na Alikiba. Harmorapa anasema kabla ya kurekodi ngoma yake hii mpya ambayo amefanya na mkongwa Juma Nature alijitahidi sana kumtafuta Alikiba […]

Read More..

Idris Sultan: Mimi na Wema Sio Maadui

Post Image

Idris Sultan amedai kuwa hana uadui na ex wake Wema Sepetu – bado kwa mbali wana ushkaji. Mchekeshaji na mtangazaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa huzungumza na ex wake huyo mara chache kwa sasa. “Unajua sipendi unafiki nikasema ‘ahh tunaongeaga, mbona washkaji tu tuko peace sana’ hapana sio kihivyo,” amesema Idris. “Unakuta ni mara moja moja […]

Read More..

Ray Ashindwa Kuishi na Chuchu

Post Image

Pamoja na kumzalia mtoto wa kiume aitwaye Jaden, staa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kushindwa kuishi na mwandani wake, Chuchu Hans ambaye naye ni mkali wa Bongo Muvi, kisa kikielezwa kuwa ni mama wa jamaa huyo ambaye hataki mwanaye aishi mbali naye.   Habari za kuaminika zilieleza kuwa, Chuchu amekuwa akitangaza kwamba, […]

Read More..

Lissu Afutiwa Mashataka, Akamatwa Tena

Post Image

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu amekamatwa na polisi katika mahakama ya Kisutu wakati akitoka kuhudhuria kesi yake ya uchochezi. Taarifa ya kukamatwa lwa Lissu imethibitishwa na Afisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene, ambaye amesema kuwa Lissu amekamatwa bila kupewa maelezo yoyote ya sababu za kukamatwa kwake, na amepelekwa […]

Read More..