-->

Daily Archives: March 22, 2017

Hofu ya Kupotezwa na WCB Ilivyomtesa Harmon...

Post Image

Msanii kutoka lebo ya WCB Wasafi, Harmonize amefunguka na kudai alipata hofu ya kufanyiwa fitina kwenye muziki baada ya uongozi wake kumtaka kuachia wimbo wake mpya kupitia mtandao ulioanzishwa na lebo hiyo. Harmonize amefunguka katika Planet Bongo na kusema kuwa uongozi wake ulipomtaka kumtanguliza kama chambo alidhani wamedhamiria kumpoteza katika ramani ya muziki ndiyo maana […]

Read More..

Snura: Sitaki Wanangu Wanifuate

Post Image

STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi amefunguka kuwa licha ya uanamuziki wake, kamwe hawezi kuwaruhusu wanawe wawe wanamuziki kwani havutiwi na changamoto zilizomo. Akipiga stori na Risasi Vibes, Snura ambaye ana watoto wawili, alisema matarajio yake ni kuona watoto wake wakitafuta kazi nyingine kwani wakiwa fani tofauti watakuwa msaada mkubwa kwake. “Nafanya muziki […]

Read More..

Jay Dee Ataja Kinachomfanya Aendelee Kuwa B...

Post Image

Mwanamuziki Lady Jay Dee kutoka Tanzania amesema kitendo cha yeye kuto-lewa sifa ndiyo kimemfanya kuendelea ku-hit katika soko la muziki ndani na nje ya nchi mpaka sasa. Msanii huyo amedai kuwa hiyo ndiyo siri pekee iliyomfanya aweze kupita katika vipindi vyote vigumu mpaka leo hii bado yupo katika soko na kuendelea kufanya vizuri kila leo akiachia […]

Read More..

Ridhiwani: Baba Alinitoa Hofu

Post Image

Dar es Salaam. Baada ya kuitwa kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na biashara ya dawa za kulevya, Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema taarifa hizo zilitingisha familia yake, lakini baba yake Jakaya Kikwete alimtia moyo. Tofauti na watuhumiwa wengine waliohojiwa kuhusu matumizi na biashara ya dawa za kulevya, Ridhiwani hakutangazwa hadharani badala yake aliitwa kimyakimya […]

Read More..

Snura: Natamani Nimrudie Mungu

Post Image

MSANII aliyetamba na wimbo wa Chura, Snura Mushi, amesema malengo yake makubwa ni kumrejea Mungu kabla hajaaga dunia. Snura alisema imani yake ni kwamba mambo ya dunia yana mwisho wake, hivyo kuamua kuwa mlezi wa madrasa aliyoachiwa na marehemu babu yake iliyopo Yombo Vituka, kama njia ya kumrudia Mungu. “Najitahidi kufanya kazi kwa bidii na […]

Read More..