-->

Daily Archives: March 1, 2017

Rais Magufuli Amteua Salma Kikwete Kuwa Mbu...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Mke wa Rais mstaafu, Jakaya Kikwete, Mama Salma kuwa mbunge wa kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri wa Muungano Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu usiku huu, imesema Mama Salma ataapishwa kwa mujibu na utaratibu wa Sheria zitakazotangazwa na Bunge. Uteuzi wa Mama Salma unamfanya […]

Read More..

Wema kama Malkia Chadema

Post Image

BINTI mrembo mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii, Wema Sepetu, anahudumiwa kama Malkia na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kutangaza kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wema, tofauti na wanachama wengine wa Chadema waliojiunga katika miezi ya hivi karibuni, amepewa mlinzi maalumu ambaye atakuwa akimlinda kwa kila atakapokuwa kutokana na kile Chadema […]

Read More..

Muziki wa Taarabu Unapotea kwa Kukimbizana ...

Post Image

Muziki wa Taarabu ulianza kukwama pale Abdul Misambano na vijana wenzake walipoanza kuupa kisogo ule wa asili. Yalikuwa ni mabadiliko ya muda mrefu, yalianzia kwa kibao kama ‘Asu’ lakini miaka michache baadae yakazaa bendi kama Jahazi na nyingine nyingi ambazo kwa pamoja zilijinasibu kwamba zinafanya muziki uitwao ‘Morden Taarab’ au Taradansi. Tangu pale mambo yakawa […]

Read More..

Tumuamini Yupi Kati ya Wema Sepetu au Batul...

Post Image

Wiki chache zilizopita kumekuwepo na mambo mengi ambayo yamekuwa yakitrend kwenye vichwa vya watu kama madawa ya kulevya, watu kupelekwa kuhojiwa na harakati za wanahabari kutaka kujua msanii gani atapanda mahakamani, lengo ni kutaka kuchukua matukio mbalimbali yatakayotokea maeneo hayo. Ukiacha na hayo, kumekuwa na habari ambayo msanii wa Filamu Tanzania, Wema Sepetu kuhamia Chama […]

Read More..

VIDEO: Dayna Atetea Picha Zake za Utata Mit...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Dayna Nyange amesema hawezi kuishi maisha ya kumfurahisha kila binadamu bali anaishi kama vile jinsi anavyoona inafaa kwa upande wake ndiyo maana haoni kama kuna tatizo la yeye kuwa na picha za utata katika mitandao. Wakati akihojiwa na kipindi cha eNewz cha EATV leo kutokana na picha zake za utata zinazomuonesha sehemu […]

Read More..

Mama Diamond Atua Rasmi Bongo Muvi

Post Image

DAR ES SALAAM: Mama mzazi wa staa wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’, ametua rasmi kwenye fani ya uigizaji wa sinema za Kibongo (Bongo Muvi). Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum, mama Diamond alitamba kwenda kimataifa kwenye upande wa filamu kama anavyofanya mwanaye Diamond akiwa ameshiriki katika utayarishaji na uigizaji wa […]

Read More..