-->

Daily Archives: March 30, 2017

VIDEO: Nay wa Mitego Akutana na Waziri Mwak...

Post Image

Staa wa Bongofleva Nay wa Mitego alifika katika ofisi za Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo zilizopo Dodoma kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Waziri Dr. Harrison Mwakyembe ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu msanii huyo kuachiwa huru. Nay wa Mitego alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi Dar es slaam kwa tuhuma […]

Read More..

Jide Afungukia Mahusiano Yake na Spicy Kuto...

Post Image

Wakati maneno ya chini chini yakiwa yanaendelea kuhusu kupigwa kibuti na mpenzi wake mpya Spicy kutoka Nigeria, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ amefunguka na kusema wabongo wengi wanapenda wenzao waharibikiwe na kuwataka kuacha kuwaziana mabaya. Jide amelazimika kutoa kauli hiyo baada ya maneno kuzagaa kuwa amepigana kibuti na Mnigeria huyo ikiwa ni siku chache baada ya kuandika […]

Read More..

Koletha: Kulea ni Kazi Ngumu

Post Image

SIKU chache baada ya kujifungua mtoto wa kike, msanii mkongwe kwenye gemu la filamu Bongo, Koletha Raymond amefunguka kuwa tofauti na alivyowahi kufi kiri, kulea ni kazi ngumu, hivyo kila mtu anapaswa kumheshimu mama aliyemlea. Akistorisha na Za Motomoto News, Koletha alisema kulea siyo rahisi kama watu wengi wanavyodhani au kama yeye alivyokuwa akifi kiri […]

Read More..

Ney wa Mitego: Nafikiria cha Kuzungumza na ...

Post Image

RAPA ambaye wimbo wake wa ‘Wapo’ unazungumzwa zaidi kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari, Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego), amesema kwa sasa anajipanga ajue cha kuzungumza na Rais Magufuli kama atapata nafasi ya kukutana naye kama alivyomuagiza. Ney alisema alipotoa wimbo wake huo alijua hautafurahiwa na watu wote, lakini kwa […]

Read More..

VIDEO: JB afungukia Ishu ya Kukosa Mtoto Kw...

Post Image

Muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Jacob Stephen  Bonge la bwana maarufu kama  JB amefunguka na kuweka wazi kwamba maisha yake ya kutopata mtoto mpaka sasa kwenye ndoa yake hayajawahi kumkosesha furaha wala kuacha kumpenda mke wake. Kwenye kipindi cha Kikaangoni kupitia Facebook ya EATV wakati akijibu maswali ya mashabiki wake JB amesema kuwa hajabahatika kupata mtoto kwenye […]

Read More..