-->

Daily Archives: March 19, 2017

Mh. Temba: Sijawahi Kubebwa na Chege

Post Image

Msanii wa bongo fleva Temba amesema maneno yanayoongelewa kwamba anabebwa kimuziki na msanii mwenzake Chege hali inayompelekea ashindwe kuachia nyimbo kwa muda mrefu hayana ukweli wowote. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Temba amesema kuna biashara alikuwa anafanya na mtu iliyokuwa inahusiana na muziki ambayo mwisho wake aliyekuwa anafanya naye biashara alimizimia simu na kumkimbia hali iliyopelekea kushindwa […]

Read More..

Alikiba Kuweka Muziki Wake Wasafi.com, Sawa...

Post Image

Kwa takribani miaka mitatu sasa mafahari wawili wa muziki wa kizazi kipya yaani Bongo Flava Alikiba na Diamond Platinumz wamekuwa katika bifu zito sana, licha ya wao kujaribu kila siku kuukwepa ukweli huo. Hakuna kati yao ambaye amewahi kujitokeza hadharani na kukiri uhasama kati yao lakini ni wazi kuwa watu hawa hawapikiki chungu kimoja. Mara […]

Read More..

VIDEO:Mzee Hashim Rungwe Autaka Ukocha wa T...

Post Image

Mwenendo usioridhisha wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, umemuibua Mwenyekiti wa chama cha siasa cha Ukombozi wa Umma, (CHAUMMA), Mzee Hashim Rungwe, kutaka yeye ndiyo aitwe kuwa kocha wa timu hiyo. Mzee Rungwe ambaye alikuwa KIKAANGONI ya EATV, alikutana na swali lililomkumbusha wakati alipowahi kutamka kuwa anahitaji kuwa kocha wa timu, ambapo mzee […]

Read More..

Makala: Kifo Bongo Movie, Mazishi Bongo Fle...

Post Image

Kutoka Instagram, muigizaji mkongwe Norah ameandika. Ni kama Chid Benz. Tofauti yake ni kwamba tasnia ya filamu haijapelekwa ‘soba hausi’. Wasanii na wadau wa filamu wamechoka. Wameishiwa mbinu. Nguvu. Na mizuka ya kazi. Sanaa imegeuka kijiwe cha watu wasio na malengo na maisha. Wanajifanyia tu. Ndicho kilichoifikisha hapa tasnia hii yenye mamilioni ya mashabiki na […]

Read More..

Tatizo Siyo ‘Series’ za Kikorea, Shida ...

Post Image

KUKATAA ukweli hakujawahi kuwa tiba ya tatizo. Ukihisi unaumwa kisha ukakataa kupima hakuondoi ukweli wa tatizo ila kutazidi kudhoofisha afya yako zaidi. Hali hii ilikuwa kwenye tasnia ya filamu Tanzania. Kwa muda mrefu wadau walipaza sauti na kusema tasnia ya filamu ilikuwa imefubaa na inaelekea kufa ila cha kusikitisha wasanii na watayarishaji wa filamu hizi […]

Read More..

2

Sauti ya Mama Wema Ingenitoa Roho – Steve...

Post Image

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa, kama si  ujasiri wa kiume, sauti iliyovujishwa na mama wa mwigizaji Wema Sepetu, Miriam, akisikika akiwataja baadhi ya viongozi kushirikiana naye ili kumsaidia Wema atoke sero, ingemsababishia kifo kwa presha. Nyerere alisema suala hilo limshtua kiasi ambacho aliona dunia yote itamlaumu yeye hivyo anamshukuru Mungu alisimama […]

Read More..

Wasanii Mmemsikia Rais Magufuli?

Post Image

WENYE kupenda kulalamika, wataendelea kulalamika kuwa sanaa ya Bongo hailipi. Hata hivyo ukiwauliza sababu, watakutajia za ajabuajabu tu. Wasanii wa kweli, wenye kushughulisha bongo zao, wenye kuzidisha ubunifu, hawalalamiki badala yake wanaendelea kupiga kazi kwa nguvu zaidi. Mafanikio yao yanaonekana. Kwa mfano hapa Bongo, tunawaona zaidi wasanii wa Bongo Fleva na Bongo Muvi wakichuana kwa […]

Read More..

Video: Professor Jay – Kibabe

Post Image

Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Kibabe”. Video imeongozwa na Hanscana.

Read More..