-->

Daily Archives: March 29, 2017

Davina Atoa Ombi Hili kwa Waziri Mwakyembe

Post Image

NYOTA wa filamu nchini, Halima Yahaya ‘Davina’ amemtaka Waziri Mpya wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kuendeleza mambo mazuri yaliyoanzishwa na mtangulizi wake, Nape Moses Nnauye ili kuwasaidia wasanii. “Tunamuombea Mungu Waziri Mwakyembe awe nasi karibu kama alivyokuwa Nape,  kwani tulikuwa tukimpigia simu na kumweleza shida zetu za sanaa, muda wote anapokea […]

Read More..

Ni Heri Mtu Akose Figo Kuliko ‘Bando&...

Post Image

Msanii Roma Mkatoliki amesema hali ya utandawazi imeharibu nchi ya Tanzania katika utendaji kazi maofisini mpaka shuleni kutokana na watu kutekwa na mitandao  ya kijamii kwa kutotaka kupitwa na vitu vinavyoendelea kutokea. Akizungumza katika kipindi cha eNewz kinachorushwa na EATV rapa huyo anayetamba na ngom ya ‘Usimsahau Mchizi’ ametoa kauli hiyo kufuati hali ya nchi […]

Read More..

Makonda Ahojiwa na Kamati ya Madaraka ya Bu...

Post Image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amefika mbele ya kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge baada ya wito wa Kamati hiyo kumtaka ajibu tuhuma zinazomkabili za kuingilia Haki, Uhuru na Madaraka ya Bunge. Taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Bunge imeeleza kuwa […]

Read More..

Uzazi Unampenda Monalisa

Post Image

KATI ya wasanii ambao kila ukutanapo uvutia kwa muonekano wake si mwingine bali ni mwigizaji nyota isiyochuja miaka na miaka Monalisa ni msanii ambaye amekuwepo katika tasnia kwa miaka mingi lakini bado yupo katika muonekano huku mabinti wakija na kuchuja kimuonekano na sanaa yenyewe pia. Nendeni Duniani mkajaze Ulimwengu ni maneno yaliypo katika maandiko matakatifu […]

Read More..

Baraka The Prince Asita Kuingia Kwenye Fila...

Post Image

Msanii Baraka The Prince anayetamba na wimbo wake wa ‘Niache Niende’ amesema wakati wake ukifika naye atajiingiza katika mambo ya filamu nchini kama alivyokuwa Hemed PHD. Msanii huyo ameelezea hisia zake kwa kile anachokiamini kwa kusema yupo katika harakati za kujenga ‘brandy’ yake ya muziki ili itambulike vizuri katika soko huku akidai alishawahi kufuatwa na director […]

Read More..

Video:Harmorapa Hana Pesa ya Kunilipa ̵...

Post Image

Mkongwe wa bongo fleva Juma Kassim Nature ‘Sir Nature’ amekanusha vikali kulipwa na msanii Harmorapa katika wimbo wa ‘Kiboko ya mabishoo’ na kudai kwamba kijana huyo hana pesa za kumlipa na kusisitiza yeye alifanya kwa upendo tu. Akizungumza na eNewz ya EATV, Nature amesema kwamba alikubali kushiriki katika wimbo huo kwa sababu anaamini msanii huyo chipukizi […]

Read More..