-->

Daily Archives: March 16, 2017

Harmonize: Mapenzi Yetu na Wolper Sio ya Ki...

Post Image

Harmonize amefunguka kuwa ni kweli waligombana na mpenzi wake Jacqueline Wolper na haikuwa kiki kama watu wanavyofikiria. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM Jumatano hii, kuna baadhi ya vitu vilisababisha wagombane lakini kwa sasa kila kitu kinaenda sawa. “Kuna vitu vilitokea tukajikuta hatuko sawa, lakini Mungu ndio mwenye kheri tukawa tupo pamoja […]

Read More..

PICHA & VIDEO: Rais Magufuli Alivyotem...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo March 16 2017 ametembelea eneo la ujenzi wa Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa atahamia Dodoma hivi karibuni kama alivyoahidi. Rais Magufuli ambaye ameongozana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, […]

Read More..

Barnaba: Bora Tuibiwe na Diamond

Post Image

Barnaba amedai kuwa ni bora fedha zao za muziki ziibiwe na Diamond kupitia tovuti yake ya kuuza muziki ya Wasafi.com kuliko watu wengine. Muimbaji huyo ameiambia Dizzim Online, “Tumeibiwa sana wasanii, tumedhulumiwa sana. Mungu anisamehe kidogo, bora atuibie msanii mwenzetu, tunajua msanii mwenzetu anakula yupo kwenye soko letu kuliko atuibie mtu binafsi.” “Na yeye akiwa […]

Read More..

Wakali Watano wa Prof. Jay Hawa Hapa

Post Image

Rapa mkongwe na Mbunge wa jimbo la Mikumi Mhe. Prof. Jay amefunguka na kutaja wasanii wake watano wa hip hop Bongo ambao anawakubali na kusema wasanii hao ndiyo wamejenga msingi na kutengeneza njia kwa wasanii wa sasa. Prof. Jay akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio aliwataja wasanii hao kuwa ni pamoja […]

Read More..

Dayna: Simchukii Baba Watoto Wangu

Post Image

NYOTA wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amesema licha ya mambo mengi kutokea katika uhusiano wake na mwanaume aliyezaa naye mtoto wa kike, hawezi kumchukia hata mara moja. Akichonga na Risasi Vibes, Dayna alikiri kutokuwa na mawasiliano kabisa na baba mtoto wake huyo anayedaiwa kuwa yupo Afrika Kusini, lakini ikitokea wakakutana na kumtaka mwanaye, […]

Read More..