-->

Daily Archives: March 7, 2017

Rose Ndauka awa mtangazaji mpya wa East Afr...

Post Image

Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka amepata shavu jipya la kutangaza East Africa Radio. Kupitia mtandao wake wa Instagram, muigizaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka, “Nafurahi kuwa mmoja wa team hii mpya ya #Eastafricaradio.Ni planetbongo mpya 2017.” Awali Ndauka alikuwa akitangaza Times FM kabla ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwaka jana. Bongo5

Read More..

Jina Analotumia Baraka ni Langu – Dul...

Post Image

Mwanamuziki mkongwe Prince Dully Sykesy ameweka wazi yeye ndiye aliyempatia jina la kisanii Baraka The Prince miaka kadhaa iliyopita kabla hata msanii huyo hajatoa wimbo hata mmoja. Katika ukurasa wake wa instagram Dully ameandika kwamba baraka aliwahi kumpigia simu na kumwomba amchagulie jina ambalo litamfanya awe maarufu. “Kuna siku ila mwaka sikumbuki nilipata simu kutoka kwa […]

Read More..

Mboto: Ningetembea na Aunt Ningefurahi

Post Image

Mwigizaji wa Vichekesho Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ ameibuka na kufunguka kuwa iwapo angetembea na Aunt Ezekil angefurahi na angeweka wazi kwa sababu yeye ni rijali.    Mboto alisema hayo baada ya kuibuka maneno mtandaoni kuwa, Aunt aliwahi kuwa na ujauzito wake na akautoa, ishu ambayo Mboto aliikana vikali. Mboto aliliambia Wikienda kuwa, yeye na Aunt […]

Read More..

Navy Kenzo: Tukigombana Ndiyo Tunatoa Wimbo...

Post Image

WACHUMBA wanaounda kundi la Navy Kenzo, Aika Mareale na Nahreel, wamesema wanapogombana ndiyo hupata nafasi ya kuandika wimbo mzuri.   Akizungumza na MTANZANIA, Aika alisema hatua waliyopiga kimuziki na kimapenzi ndiyo inayowapatanisha kwa muda mfupi wanapogombana. “Huwezi amini huwa tunagombana sana na mpenzi wangu na wakati mwingine tunafikia hadi hatua ya kutaka kuachana, lakini tukifikiria […]

Read More..

VIDEO: TID ni Paka – Steve Nyerere

Post Image

Msanii wa vichekesho Steve Nyerere ameibuka na kumjibu msanii TID huku akieleza kufurahishwa na hatua ya TID kumfananisha na panya kwa kuwa inaonesha jinsi alivyo mjanja ambaye anaweza kujitafutia na kusema Wakati akifurahi kufananishwa na panya, Steve amemfananisha TID na paka ambaye husubiri kutengewa kila kitu. Steve Nyerere alisema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kudai kuwa […]

Read More..