-->

Daily Archives: March 17, 2017

Rammy Galis: Kucheza Series Inalipa Kuliko ...

Post Image

Hivi karibuni nilipata chance ya kupiga stori na mwigizaji wa Bongo Movie Rammy Galis ambaye pia anaonekana kila wiki kupitia tamthilia ya Kitanzania ‘HUBA’ inayorushwa exclusively kupitia channel ya Maisha Magic Bongo kwenye DSTV. Ukiachana na yeye kufanana sana na marehmu Steven Kanumba, Rammy Galis ni mtu mmoja poa sana na anayejitambua. Nilibahatika kukaa na kupiga […]

Read More..

Kajala Afungukia Madai ya Kushindwa Kumlea ...

Post Image

Muigizaji wa Filamu Tanzania Kajala Masanja amewafungukia wanaomsema kwamba ameshindwa kumlea binti yake ‘ Paula’  na kusema anatamani awaoneshe watu hao malezi anayompatia binti yake huyo. Akipiga story na eNewz, Kajala amedai kuwa hawezi kushindwa kumlea mtoto wake na kwamba malezi anayompatia binti yake ni tofauti na yale watu wanayoyazungumzia katika mitandao ya kijamii na kuongeza […]

Read More..

Lulu Atoa Povu Uchumba’ake Kuvunjika

Post Image

JUZIKATI yaliibuka madai kwamba, uchumba wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na yule bosi wa redio Bongo umevunjika huku kila moja akiongea lake. Madai hayo yalienea kwenye mitandao ya kijamii na wapo waliokwenda mbali zaidi kudai kuwa, sasa Lulu karejea kwao na ana mpango wa kuanzisha maisha yake mengine.   “Wamemwagana, uchumba haupo […]

Read More..

Gabo Awapa Makavu ‘Ma-Director’...

Post Image

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania  Gabo Zigamba amewataka waongozaji filamu Tanzania (Directors) kutojihusisha na kazi za kuongoza filamu kama hawana vipaji pamoja na taaluma hiyo. Gabo amesema watu hao ndiyo wanasababisha soko la filamu nchini kupigwa bao na kazi kutoka nje kwa maana kazi wanazozitengeneza kukosa ubunifu na ushindani kama ilivyokuwa zamani kupelekea watazamaji kuichukia ‘Bongo […]

Read More..

Idris Sultan Azungumzia Karibu Kiumeni, Uta...

Post Image

Idris Sultan ni miongoni mwa vipaji vipya vitakavyoonyesha uwezo wao wa kuigiza kwa mara ya kwanza kupitia filamu mpya ya Mtanzania Ernest Napoleon, ‘Karibu Kiumeni’. Camera za Global TV Online zilikutana na Idris Sultan kwenye press screening ya filamu mpya ya Karibu Kiumeni na kupiga nae stori. Miongoni mwa vitu alivyoviongelea ni pamoja na nafasi […]

Read More..

AT Amtaka Tundaman Kuhamia Kwenye ‘Mauno’

Post Image

Mfalme wa miduara nchini Tanzania AT ambaye kwa sasa anatamba na ngoma mpya yenye mahadhi tofauti na mduara inayokwenda kwa jina la ‘Sili feel’, amemtaka msanii Tundaman kuanza kucheza ‘mauno’(dansi) ili aweze kupata ‘kiki’ mjini. Hayo yameibuka baada ya Tundaman kulalamikia vyombo vya habari pamoja na blog kuwapa ‘promo’ nyingi wasanii ambao hawana sifa stahiki huku […]

Read More..