-->

Daily Archives: March 18, 2017

Dakika 10 na Idris Sultan

Post Image

Inawezekana ukamchukulia poa lakini mshindi wa Big Brother Africa – Hotshots, Idris Sultan yupo makini sana linapokuja suala la uhusiano wa kimapenzi licha ya kwamba maisha yake ya upande huo yana ajali nyingi. Idris ambaye ni mchangamfu na mchekeshaji ukiwa naye, amefunguka mengi kuhusu maisha yake. Mazungumzo yake ya dakika 10 na Starehe, ameelezea kuhusu […]

Read More..

VIDEO: Bill Nass Afunguka Haya Kuhusu Diamo...

Post Image

Rapa Bill Nas ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Mazoea’ aliomshirikisha rapa mkongwe katika muziki wa bongo Mwana FA amefunguka na kusema katika mapinduzi ya video za Bongo fleva ambazo zilileta tija katika muziki wetu ipo video ya Diamond. Bill Nass alisema hayo kupitia kipindi cha Nga’z Kwa Nga’z. Tazama video hii akinyoosha maelezo.

Read More..

Thea Ataja Madhara ya Mapedeshee

Post Image

STAA wa filamu nchini, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka kuwa hana mpango na hategemei mapedeshee  kuendesha maisha yake kwani madhara yake ni makubwa. Akibonga na Risasi Jumamosi, Thea alisema katika maisha yake hajawahi kutegemea wanaume mapedeshee wamwendeshee maisha yake kwani kuna hasara kubwa kwa sababu mastaa wengi wa kike wanaoishi kwa kuwategemea hujikuta wakiachwa na kurudi […]

Read More..