-->

Daily Archives: March 21, 2017

Shilole Awafungukia Wanaomuhusisha na Nuh M...

Post Image

Msanii wa bongo fleva nchini Tanzania Shilole ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wake mpya ”Hatutoi kiki’ amewataka watu kuacha tabia ya kuendelea kumzushia vitu ambavyo sio vya kweli baina yake na Nuh Mziwanda. Hayo yamekuja baada ya kuzagaa kwa picha zinazowaonesha wakiwa pamoja katika mapozi ya kimapenzi jambo ambalo Shishi amesema siyo la kweli […]

Read More..

Wasafi.com ni Mtego kwa Mastaa Bongo

Post Image

AGOSTI 2, 2016 staa mwenye jina kubwa ulimwenguni Shawn Carter ‘Jay Z’ alitimiza malengo yake ya muda mrefu kwa kuwa msanii wa kwanza duniani kumiliki mtandao ambao umewawezesha waandishi wa muziki na wanamuziki mastaa wakubwa duniani kufaidika na jasho lao kwa kuuza kazi zao za audio na video kwa mashabiki wao duniani kote. Mtandao huo […]

Read More..

Masogange Apewa Onyo na Mahakama

Post Image

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange baada ya kutohudhuria kesi hiyo mahakamani. Kesi hiyo ambayo imetajwa kwa mara ya kwanza mbele ya hakimu mkazi wa Kisutu Wilbard Mashauri wakili wa serikali Adolf Mkini amesema kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ya kutumia […]

Read More..