-->

Daily Archives: March 27, 2017

Bi Mwenda Aukubali Uzee

Post Image

DAR ES SALAAM: Mwigizaji mkongwe wa sinema za Kibongo, Fatuma Makongoro  ‘Bi Mwenda’ sasa ameukubali uzee baada ya kusumbuliwa na miguu ambayo imempunguzia kasi ya kufanya kazi zake za sanaa. Akizungumza na Wikienda , Bi Mwenda alisema kuwa, sasa uzee ndiyo umekamilika kwani anasumbuliwa na miguu lakini anashukuru Mungu mambo yanakwenda vizuri. “Nilipenda kutania uzee […]

Read More..

Profesa Jay: Diamond, Kiba Wanaua Bongo Fle...

Post Image

MKONGWE kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kusema kuwa, wasanii  mahasimu wakubwa, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Ali Kiba ndiyo wanauoa muziki wa Bongo Fleva.   Profesa Jay ambaye ni Mbunge wa Mikumi, akiwa ameachia ngoma yake mpya ya Kibabe hivi karibuni  amefanya mahojiano na Polisi wa Swaggaz na kuzungumza […]

Read More..

Rais Magufuli Aagiza Nay wa Mitego Aachiwe ...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Magufuli, amelitaka jeshi la polisi nchini kuhakikisha linamwachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu Nay wa Mitego, aliyekamatwa mjini Morogoro jana. Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Dodoma, Waziri wa Habari, Utamaduni na  Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, amesema Rais Magufuli amesema […]

Read More..

Hawa Ndiyo Wasanii Watano Anaowakubali Shil...

Post Image

Msanii Shilole ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Sitoi kiki’ amefunguka na kuwataja wasanii watano wa bongo fleva ambao yeye anawakubali na kupenda kazi zao. Shilole alifunguka hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema katika wasanii hao msanii wa kwanza kabisa anayemkubali ni Bi. Khadja Kopa “Jamanii mimi nampenda […]

Read More..