-->

Daily Archives: March 31, 2017

VIDEO: Msiniite Tena TID-Khalid

Post Image

Mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID au Mzee Kigogo amelikataa rasmi jina la TID ambalo ndilo lililompatia umaarufu na kutaka kupendekeza aitwe jina lake alilopatiwa na wazazi wake au ‘Mnyama’. Akipiga story na eNewz ya EATV TID amesema halipendi tena jina hilo kwa kuwa limekuwa la kawaida sana na kudai watu […]

Read More..

Wolper: Aika na Nareel Ndiyo ‘Couple’ I...

Post Image

STAA wa Bongo Movie, Jackline Wolper, amesema uhusiano wa wasanii wenzake, Aika na Nahreel, wanaounda kundi la muziki la Navy Kenzo, ndiyo ‘couple’ imara zaidi kwa wasanii kwa sasa. Wolper alisema anafurahishwa na wanavyoweza kukabiliana na changamoto wanazokumbana nazo katika uhusiano wao na hawayumbishwi licha ya kuwa mastaa wakubwa kwa sasa katika muziki. “Wamejitahidi sana […]

Read More..

VIDEO: Wasanii ‘Bongo Movie’ Wa...

Post Image

Mkongwe wa filamu Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kwamba wasanii wa filamu wapo hatarini kupotea ikiwa hawataweza kwenda sawa na kipindi ambacho tasnia hiyo inapitia kwa sasa. JB ametoa tahadhari hiyo huku akikanusha hofu iliyopo kwamba tasnia ya movie imekufa ambapo amedai kuwa kuna wasanii wanaoweza kupotea kwenye ramani na kuja wasanii wapya lakini tasnia itaendelea kubaki palepale hivyo […]

Read More..

Rose Ndauka: Wanaume Wakware Bado Wananisum...

Post Image

STAA wa filamu nchini, Rose Ndauka, ameweka wazi kwamba licha ya kujibidisha kwenye ubunifu wa kazi mbalimbali za kumwingizia kipato anazozifanya, hujikuta akikutana na idadi kubwa ya wanaume wakware wanaomtaka kimapenzi badala ya kufanya naye biashara. Ndauka ambaye kwa sasa anajishughulisha na ujasiriamali, alisema amekua akibuni njia mbalimbali za kumwingizia kipato ili aendane na hali […]

Read More..

Shilole Apanga Makubwa Kwenye 40 ya Mtoto w...

Post Image

Shilole aka Shishi Trump ni mzungu. Amesema hana kinyongo na ex wake Nuh Mziwanda na ndio maana mwaliko wa 40 ya mtoto wa kike wa Nuh na mke wake Nawal ukihusika, ataenda kufanya makubwa. “Mimi sinaga shobo ujue,” muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni. “Mimi naenda kwa moyo wangu […]

Read More..