-->

Daily Archives: March 23, 2017

VIDEO: Magufuli Ashuhudia Tena ‘Madud...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa maelekezo aliyoyatoa kwa nyakati tofauti Maelekezo hayo ni juu ya kudhibiti udanganyifu wa mizigo inayoingia na kutoka nchini kupitia bandari hiyo ikiwemo usafirishaji wa mchanga wa […]

Read More..

Mrisho Mpoto Alia na Wanasiasa

Post Image

Msanii Mrisho Mpoto amewaomba wanasiasa waachie ‘gap’ kidogo ili wasanii nao waweze kupata muda wa kutambulisha kazi zao za sanaa kwa jamii ambayo sasa imetekwa na upepo wa siasa. Hayo yameibuka kutokana na matukio makubwa ya kisiasa kila kukicha na baadhi ya wasanii wakiongozwa na Mpoto kuandika katika mitandao ya kijamii kuwataka wanasiasa wajaribu kidogo kupunguza kasi […]

Read More..

Video: Harmorapa Atimua Mbio Baada ya Kuion...

Post Image

Harmorapa ni bingwa wa kumendea headlines kwenye matukio makubwa yanayowahusu watu wenye majina. Hata hivyo Alhamis hii mambo yalitaka kumtokea puani. Rapper huyo mwenye visa alitimba Protea Hotel jijini Dar es Salaam ambako mheshimiwa Nape Nnaye alikuwa ameenda kuzungumza na waandishi wa habari, lengo lake kumpa pole kwa masahibu yaliyompata – kuvuliwa uwaziri. Hata hivyo […]

Read More..

Akaunti ya Shamsa Ford Yenye Followers 2.1m...

Post Image

Wizi wa akaunti za mitandao ya kijamii kwa mastaa Bongo bado unaendelea – na sasa ni zamu ya Shamsa Ford kulia. Akaunti ya mtandao wa Instagram ya muigizaji huyo ambayo ilikuwa na followers milioni 2.1 imedukuliwa (hacked) usiku wa Jumanne hii. Akiongea na Bongo5, Shamsa amesema kwa sasa bado anaendelea kushughulikia jambo hilo kuhakikisha anairudisha […]

Read More..

Barnaba Afunguka Ukweli Kuhusu Mke Wake

Post Image

Mkali wa bongo fleva Barnaba Classic amesema yeye na mke wake hawajaachana kama watu wanavyoamini lakini wametofautiana kidogo. “Kwa sasa siko kwenye maelewano mazuri na mama watoto wangu, siyo kwamba tumeachana au tumetengana sitaki kusema hivyo pia wimbo wangu mpya huu wa Lonely sijamuimbia mtu na hauhusiani na maisha yangu kabisa”. Alisema Barnaba Aidha msanii huyo […]

Read More..

RAY: Ningeteuliwa Waziri Ningeanza Kuwachuj...

Post Image

MKONGWE wa filamu Nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’, amefunguka kuwa kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, angeanzisha mpango maalumu wa kuwachuja wasanii. Akiongea na +225 Kipindi cha XXL cha Clouds Fm amedai kuwa kila mtu anataka kuwa msanii, hakuna mgawanyiko wa kazi. Msanii akicheza filamu moja basi kesho ameshakuwa staa na anavaa kofia […]

Read More..

Nape Azungumza Chini ya Ulinzi wa Polisi

Post Image

Dar es Salaam. Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amezungumza na wanahabari nje ya hoteli ya Protea baada ya mkutano wake kuzuiwa na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Kinondoni. Katika mkutano huo, Nape alionyeshwa kushangazwa na kitendo cha polisi kumnyooshea bunduki alipokuwa akitaka kuzungumza na wanahabari katika eneo hilo. “Mimi ni mtu mdogo sana ndani ya […]

Read More..

Shilole:Sipangiwi Kuzungumza Kiingereza

Post Image

Msanii wa kizazi kipya Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anayetamba na wimbo wa ‘Hatutoi kiki’ amefunguka kuwa hapendi kuzungumza lugha ya Kiingereza pasipo sababu kwakuwa ametumia gharama kuilipia lugha hiyo, na hivyo hakuna wa kumpangia kuizungumza. Akiwa East Africa Radio kwenye kipindi cha Planet Bongo Shilole amesema kwamba watu wanaomtaka yeye kuzungumza Kingereza wanapoteza muda wao kwa […]

Read More..