-->

Daily Archives: March 26, 2017

Simu ya JPM Kwa Diamond Inaweza Kuleta Maba...

Post Image

JAPO sanaa ni utajiri ila kuna baadhi ya wahafidhina bado wanaona ni kitu cha kihuni. Kwao msanii ni muhuni na sanaa ndiyo uhuni wenyewe. Bahati mbaya dhana hii haiko kwa watu wa kawaida ila imesambaa mpaka kwa baadhi ya watu walio madarakani. Na hali inapofika hapa ndiyo wazi unajua kuwa sanaa haiwezi kuendelea. Mfano mzuri […]

Read More..

Gwajima: Nitaendelea Kusema Ukweli Fitina K...

Post Image

Dar es Salaam. Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ataendelea kusema ukweli na hataogopa chochote. “Nitaendelea kusema ukweli fitina kwangu mwiko” alisema hayo katika mahubiri yake ya leo kanisani kwake Ubungo. Pamoja na mambo mengine, Askofu huyo, alisema Clouds Media ni rafiki zake kwa sababu wamewaeleza ukweli watanzania. Alisema hata waislamu […]

Read More..

Harmorapa Ala Shavu, Awa Balozi

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo, ‘Hamorapa’ anatazamiwa kuwa balozi wa Kinywaji kiitwacho Swala. Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu, Hamorapa amefunguka kuwa yupo katika mazungumzo na kampuni inayozalisha kinywaji hicho na anatarajia kupata dili nono ya kukitangaza kinywaji hicho.  

Read More..

Ney wa Mitego Awekwa Mtegoni, Akamatwa

Post Image

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limethibitisha kumkamata na kumshikilia rapa wa muziki wa kizazi kipya, Emanuel Elibariki maarufu Nay Wa Mitego leo usiku mjini Morogoro. Akizungumza na Mwananchi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei alithibitisha kumkamata rapa huyo kwa kosa la kutoa wimbo unaoikashifu […]

Read More..

VIDEO: Prof Jay Ajisafisha kwa Afande Sele,...

Post Image

Mkongwe wa hip hop bongo, Joseph Haule ‘ Prof Jay’ amekanusha kuwa ‘disi’ wasanii wenzake akiwepo Alikiba pamoja na Afande Sele kwenye wimbo wake mpya wa ‘Kibabe’. Katika ngoma hiyo, kuna mstari usemao ‘Mwambieni mfalme wenu siti yangu aifute vumbi’, mstari ambao umekuwa ukizusha hisia kuwa ni dongo kwa Afande Sele ambaye amewahi kupata taji ya […]

Read More..

VIDEO: Steve Nyerere Atoa Neno kwa Nape

Post Image

Muigizaji maarufu wa vichekesho  Steve Nyerere amemshauri Mh.Nape Nauye kumshukuru Mungu na kumuomba kwa kutenguliwa uwaziri kwa kuwa hajui ameepushwa na jambo gani. Akiongea na eNewz Steve Nyerere ameendelea kusema kwamba Mh. Nape nje ya uwaziri alikuwa ni msanii pia na alikuwa anaithamini thamani ya msanii na kuilinda pia alikuwa akipenda maendeleo ya wasanii na maendeleo yake na […]

Read More..