-->

Daily Archives: March 12, 2017

Video: Harmorapa Ft Juma Nature – Kiboko ...

Post Image

Msanii Harmorapa ameachai video yake mpya wimbo unaitwa ‘Kiboko ya mabishoo‘ ambao amemshirikisha mkali wa sikunyingi kwenye muziki wa Bongofleva Juma Nature. Video imeongozwa na Kwetu Studios. Icheki hapa

Read More..

VIDEO: Majibu ya Hussen Bashe Kuhusu Kushik...

Post Image

Baada ya taarifa za jana kusambaa zikidai wajumbe wawili wa halmashauri kuu Taifa ‘nec’  na mbunge mmoja akiwemo mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe wanahojiwa na jeshi la polisi Dodoma kwa madai ya kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Leo March 12 2017 nje ya ukumbi wa CCM Hussein Bashe […]

Read More..

VIDEO: Mh. Temba Alizwa Mali Zake

Post Image

Msanii Temba kutoka TMK Wanaume amefunguka na kuweza wazi kuwa alikwama katika muziki na kushindwa kuachia kazi zake mwenyewe baada ya kutapeliwa pesa zake na mtu ambaye alikuwa akifanya naye biashara za magari. Mh. Temba alisema hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live na kudai kuwa alimuamini sana Mustafa lakini hakujua kuwa alikuwa anatengenezwa ili […]

Read More..

VIDEO:Diamond Atoa Ushauri Huu kwa Harmorap...

Post Image

Kwa mara ya kwanza msanii Diamond Platinumz amezungumzia ujio wa masanii Harmorapa na kumshauri azidi kukomaa na afanyekazi iliajipatie ridhiki yake. Zaidi msikilize hapa

Read More..

VIDEO: Kwanini Mzee wa Upako Anamkubali JPM...

Post Image

Mchungaji Anthony Lusekelo wa Kanisa la Maombezi Ubungo KIbangu, ameelzwa kukunwa na utendaji wa serikali ya awamu ya tano iliyo chini ya Rais John Magufuli, huku akiweka wazi asili ya jina lake la ‘Mzee wa Upako’ Akiwa katika kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, Mzee wa Upako alitaja baadhi ya mambo […]

Read More..

Mike Ezuruonye, Davina… One, Two… Tunaj...

Post Image

UTAMU kolea! Soko la filamu nchini linaendeleza juhudi za kujitanua kimataifa baada ya mwigizaji kutoka Nigeria, Mike Ezuruonye kutua nchini kwa ajili ya kucheza sinema na wasanii wa Bongo Muvi. Ujio wake ni mwaliko kutoka kwa staa wa filamu Bongo, Halima Yahaya a.k.a Davina ambaye alichipushwa na Kundi la Sanaa la Kaole la jijini Dar […]

Read More..