-->

Daily Archives: March 10, 2017

VIDEO:Watangazaji wa Planet Bongo Wamtolea ...

Post Image

Kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na Juma Junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya msanii Diamond aliyosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei Radio na TV pekee kusambaza mziki wake Bali anatumia mitandao ya kijamii kuhakikisa mziki wake unafika kwa mashabiki kwa ukubwa alionao, tofauti na zamani redio na TV zilikuwa na […]

Read More..

VIDEO:JPM Aongoza Kikao cha Kamati ya Maadi...

Post Image

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Machi, 2017 ameongoza Kikao cha Usalama na Maadili cha chama kilichofanyika Chamwino Mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na wajumbe wake wakiwemo Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti […]

Read More..

Msami Afunguka Kumtamani Wema Sepetu

Post Image

Msanii wa bongo fleva ambaye pia ni miongoni mwa ma’dansa’ wakali Bongo, Msami Baby ameweka wazi hisia za moyo wake na kusema kuna mastaa wa ‘bongo movie’ anatamani kutoka nao kimapenzi. Msanii huyo amesema katika tasnia ya filamu ametokea kuwapenda wadada watatu ambao ni Wema Sepetu, Elizabeth Michael (Lulu) na Jokate Mwegelo japokuwa amekuwa matatani kwa […]

Read More..

Tunda Man: Kuna Wasanii ‘Feki’ Wanapewa...

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki kutoka Tip Top Connection Tunda Man amedai kuna wasanii wengi hawajui muziki lakini wanabebwa na baadhi ya madj pamoja na watangazaji. Muimbaji huyo amedai hali hiyo imesababisha baadhi ya wasanii wengi wenye uwezo kuendelea kusugua benchi wakati wasio na uwezo wakifanya vizuri. “Kama wewe unasikiliza redio au runinga kuna ngoma utakuta […]

Read More..

Vanessa Mdee Aendelea Kushikiliwa Central

Post Image

Dar es Salaam. Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro amesema jeshi hilo bado linamshikilia Msanii maarufu wa mziki wa kizazi kipya, Vanessa Mdee ambaye alikamatwa juzi (Jumatano) kwa tuhuma za matumizi za dawa za kulevya. Vanessa alikuwa miongoni mwa watuhumiwa wa matumizi ya dawa za kulevya waliotajwa na Mkuu mkoa wa […]

Read More..

Barnaba: Sina Mpango na Kolabo ya Nje

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Elias Barnaba, amesema hana mpango wa kufanya kolabo na msanii wa nje kwa sasa kwa kuwa bado anajipanga vizuri kisanaa. Alisema si kwamba anaogopa ila kwa upande wake anaona bado anahitaji kujipanga zaidi ili atakapoamua kufanya kolabo yoyote iwe kubwa kama alivyorekodi na msanii wa Uganda, Jose Chameleone. “Muziki hautaki kubahatisha, […]

Read More..