-->

Daily Archives: March 20, 2017

Wema, Jike Shupa Kimenuka!

Post Image

Ule ushosti wa staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na muuza sura kwenye video za wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ unadaiwa kuvunjika na sasa kila mmoja yupo na mambo yake, Risasi Jumamosi linatiririka. Chanzo makini kililieleza gazeti hili kuwa wawili hao kwa sasa hawana ushosti tena kutokana na watu […]

Read More..

Harmonize: Sijui Kama Diamond Aliwahi Kuwa ...

Post Image

Harmonize ameendelea kusisitiza msimamo wake kuwa hajawahi kusikia kama Diamond na mpenzi wake Jacqueline Wolper waliwahi kuwa na mahusiano. Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, muimbaji huyo amekana kabisa kuwahi kusikia kama mpenzi wake huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na bosi wake ambaye ni hitmaker wa Marry You. “I don’t know […]

Read More..

VIDEO: Kamata, Kafumu Waachia Ngazi

Post Image

Mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa kamati ya bunge ya viwanda, biashara na mazingira wamejiuzulu katika nafasi zao kwa madai kamati imekuwa ikikutana na changamoto nyingi zinazowasababishia kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Dalali Kafumu, ambaye ni mbunge wa Igunga na makamu mwenyekiti wake, Vicky Kamata, wametoa taarifa hiyo leo wakati wakizungumza […]

Read More..

VIDEO: JPM Amtaka Makonda Aendelee Kuchapa ...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii kazi maneno ya kwenye mitandao kwasababu yeye ndiyo Rais wa nchi hii. Rais Magufuli amesema kuna baadhi ya watu wanaingilia majukumu yake wakati yeye ndiyo mwenye uamuzi na kwamba hapangiwi kazi ya […]

Read More..

Sitamtambulisha Mpenzi Wangu Tena – Nisha

Post Image

Msanii machachari wa bongo movie Nisha Bebe amesema hatorudia kosa la kumtambulisha mpenzi wake kwa sasa bali atamtambulisha mume wake akiwa tayari. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Nisha amesema  “Sirudii makosa kwa sasa hivi wasitarajie kumsikia mpenzi wangu wala kumtambulisha kwa jamii mtu nitakaye kuja kumtambulisha ni mume wangu ambaye tayari nishampata ila tunachunguzana tabia kwanza kwa sasa” aliongea Nisha […]

Read More..

Zanzibar Yalipa Tanesco Sh 10 Bilioni

Post Image

Dar es Salaam. Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) imeanza kulipa deni lake inalodaiwa na Shirika la Umeme Tanzania(Tanesco). Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa Profesa Muhongo amesema SMZ imelipa kiasi cha Sh10 bilioni na itaendelea kulipa deni hilo […]

Read More..