-->

Waziri Mwakyembe Amtembelea Wastara

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe hapo jana( Jumapili) alikwenda kumtembelea msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma nyumbani kwake na kumjulia hali. Mh.Waziri Mwakyembe ambaye aliambata na Katibu wa Bodi ya Filamu walifika nyumbani kwa muigizaji huyo kwa ajili ya kumjulia hali ambapo Waziri huyo aliahidi kumsaidia kiasi cha shilingi milioni. […]

Read More..

Vincent Kigosi (Ray) ndani ya “BEST M...

Post Image

Msanii maarufu wa Filamu kutoka Tanzania ( Industry ya Bongo Movies) Ndg. Vincent Kigosi aka ” Ray ” leo ameandika kwenye ukurassa wake wa Instagram  “ VOTE FOR ME AS BEST MALE MOVIE STAR ” .   Hii ikiimanisha kuwa kwa upande wa wasanii wa filamu wa kiume jina lake limeingia kwenye orodha ya wasanii 14 […]

Read More..

Ray “The Greatest” amuandikia m...

Post Image

Leo ilikuwa siku ya “Birthday” kwa mtoto wao Vincent Kigosi & Chuchu Hans kutimiza mwaka 1. Katika maneno mazuri na matamu kwa mwenza wako, msanii huyu Nguli wa Bongo Movies Nd. Vincent Kigosi aka ” Ray The Greatest” kayaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumwambia mkewe haya …..Thanks Chuchu Hans Kwa Kunizalia Mtoto Huyu Sina […]

Read More..

Sitozikwa na Wasanii Pekee- Wastara

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amesema hatokuja kumladhimisha mtu yeyote katika tasnia ya ‘bongo movie’ kuwa yeye hana pesa ya kujitibia ugonjwa wake unaomsumbua kwa madai hata siku ikitokea akifa hawezi kuzikwa na hao pekee yao. Wastara ametoa kauli hiyo kwenye kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) kinachorushwa na EATV tinga namba moja kwa […]

Read More..

Kuna Wakati Unatakiwa Ushindwe ili Ushinde ...

Post Image

Msanii wa muziki Bongo, Ruby ameamua kuwatia moyo watu ambao wamekata tamaa na vitu wanavyovifanya. Mrembo huyo mwenye sauti adimu ametoa rahi hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kwa kuwaandikia ujumbe usomekao ‘Sometimes you gottaloose to win again #jesusdidit #TZBIRD?? #mwakawamaajabu’ ujumbe huu umekuja ikiwa ni siku chache kupita tokea kuachiwa […]

Read More..

Sholo Mwamba ni Mfa Maji”- Man Fongo”

Post Image

Msanii wa miondoko ya singeli Man Fongo amesema hawezi kukaa na kumzungumzia Sholo Mwamba kwa madai yeye ni mfa maji ndiyo maana haishi kutapa tapa kila uchao kumtaja. Man Fongo ameeleza hayo baada ya masaa machache kupita tokea kuonekana kwa ‘video’ ya Sholo iliyorushwa na EATV katika kipindi cha ‘FRIDAY NIGHT LIVE’ (FNL) usiku wa […]

Read More..

Wolper Ageuka Kungwi

Post Image

Msanii wa filamu bongo ambaye sasa amegeukia ujasiriamli, Jackline Wolper, amewapa somo mabinti na kuwafunda juu ya kujishughulisha ili kujipatia kipato chao, na hatimaye waweze kuheshimika. Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Jackline Wolper amesema ni wakati sasa mabinti kuacha kutegemea pesa wanazopewa na wanaume, na badala yake wajishughulishe ili kutengeneza pesa […]

Read More..

JUX amwaga mahela kwa Vanessa avunja record...

Post Image

January 20, 2018 Mwimbaji Staa wa kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee amekutana na mashabiki wake  Mlimani City Dar es salaam na kuwauzia album yake mpya ya Money Mondays, JUX naye alikuwepo na alinunua CD 25. Jux amesema kuwa amenunua CD 25 nyingine atawapa mashabiki wake lakini pia amefanya hivyo kwa ajili ya kumsupport Vanessa Mdee, msikilize […]

Read More..

Msanii Engine Atoboa Siri ya Kumchukua Wolp...

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Engine ambaye hivi karibuni kulikuwa na tetesi za kumng’oa Jackline Wolper na kumuweka ndani, ameweka wazi sababu za kuamua kumtumia msanii huyo kwenye kazi yake. Akizungumza kwenye Friday Night Live Engine amesema Wolper ni miongoni mwa wanawake wachache Tanzania wanaojitambua, na ndio sababu iliyomfanya asifikirie mara mbili kumfuata. “Wolper […]

Read More..

Nicole Aingilia Ishu ya Wastara Kuchangiwa ...

Post Image

MSANII wa filamu Bongo, Nicole Francklyn amewataka wasanii wenzake kuungana na kuendesha kampeni ya kumchangia msanii mwenzao, Wastara Juma kutokana na maradhi ya mguu yanayomsibu, kwa kuwa hakuna aijuaye kesho. Akizungumza na Star Mix, Nicole alisema, kama wasanii wangekuwa na umoja na kuungana katika hilo, kwa jinsi ambavyo wamekuwa wakijionyesha kumwaga pesa kwenye mambo ya […]

Read More..

Kesi ya Masogange Yakwama

Post Image

UPANDE wa mashitaka katika kesi ya kutumia dawa za kulevya inayomkabili, Agness Gerald ‘Masogange’, umeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuuonya upande wa utetezi kwa kushindwa kutoa ushahidi wao kwa mara ya tatu mfululizo. Upande wa mashtaka umefikia hatua hiyo baada ya Wakili wa Utetezi, Nehemia Nkoko, kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Ishu Yake na Nini

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Emmanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema jambo lolote linaweza kutokea kati yake na msanii Nini, ingawa kwa sasa hawana mahusiano.   Akizungumza na EATV Nay amesema kitu kilichopo kati yake na Nini kwa sasa ni kazi tu, lakini haitakuwa kitu cha ajabu iwao lolote likitokea baina yao. “Mimi […]

Read More..

TBT Video: Shabiki alivyopigana na mabaunsa...

Post Image

Alhamis ya  January 18,2018  wengi huiita siku hii Throw Back Thursday yani TBT ambapo hujikumbusha vitu vilivyopita, nimekutana na video clip ya miaka iliyopita ikimuonyesha staa wa  Bongofleva Diamond Platnumz  akiwa katika show ya utafutaji ili muziki wa Bongo Fleva uweze kufika mbali kimataifa na moja kati ya mashabiki akipigana na mabaunsa ili amshike tu Diamond Platnumz. […]

Read More..

Iren Uwoya, Dogo Janja Wamfariji Johari Kwe...

Post Image

SO SAD! Kufuatia kifo cha mama mzazi wa Staa wa Bongo Movies, Blandina William Wilbert Chagula ‘Johari’, Bi. Asha Chagula, maeneo ya Mburahati, jijini Dar wasanii wenzake Dogo Janja na mkewe Irene Uwoya jana walipata fursa ya kumtia moyo na kumpa nguvu ambapo walimtaka asikate tamaa na achukulie ni hali ya kawaida inayoweza kumtokea binadamu […]

Read More..

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Kufunga Ndoa

Post Image

BAADA ya staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kufunga ndoa na Uchebe, msanii anayekimbiza na Ngoma ya Give It To Me, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefungukia upande wa maisha yake kwamba acha waoane wao lakini kwake noo! Akizungumza na Showbiz, Lulu aliyewahi kuwa muuza nyago kwenye video za Kibongo alisema kuwa, hafikirii […]

Read More..

Alikiba Ashambuliwa na Mashabiki Kisa Lulu

Post Image

KATIKA kile kilichoonekana kwamba amemkumbuka aliyewahi kuwa mpenzi wake zamani ambaye kwa sasa anatumikia kifungo gerezani, Elizabeth Michael ‘Lulu’, staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba hivi karibuni alishindwakuficha hisia zake na kuweka picha ya mrembo huyo ambapo baadhi ya mashabiki walimshambulia huku wengine wakimpongeza. Kiba aliweka picha hiyo ya Lulu kwenye ukurasa wake wa Instagram […]

Read More..

Idriss Mapenzi Yamtesa Sasa Amkumbuka X- Wa...

Post Image

Mshindi wa Big Brother Afrika 2014 Idris Sultan ameonyesha kumkumbuka mpenzi wake wa zamani aliyempata wakati wakishiriki shindano la Big Brother 2014 ambaye ni Samantha Jannsen ambaye anatokea nchini Afrika Kusini. Idris amepost video clip kwenye Instagram page yake akiwa na Samantha licha ya kwamba Idriss na Samantha wameachana miaka kadhaa iliyopita na kuandika hivi […]

Read More..

VideoMPYA:Kwa mara nyingine tena Lava Lava ...

Post Image

Msanii Lava Lava kutoka record label ya WCB amezidi kuonyesha kipaji chake kwa kutoa nyimbo mpya kila kukicha na right now anakualika kuitazama hii mpya nyingine “Utatulia”

Read More..