-->

Daily Archives: October 1, 2016

KR Muller:Sipo tayari kumzungumzia Juma Nat...

Post Image

Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini KR Muller amesema hawezi kumzungumzia msanii mwenzake Juma Nature kuhusu kauli zake kwamba ana wasiwasi KR anatumia madawa ya kulevya. KR ameyasema hayo katika kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV alipotakiwa kutoa kauli yake kuhusu tuhuma ambazo Juma Nature amekuwa akizitoa mara kwa mara kwamba yeye anatumia […]

Read More..

Billnas Aungana na Nuh Mziwanda Kumvaa Peti...

Post Image

Mwanzilishi wa kundi la LFLG rapa Billnas ameunga mkono tuhuma za Nuh Mziwanda kwa kumshukia meneja wao Petit Man juu ya uongozi mbaya na upigaji wa hela kupitia mgongo wao. Billnas akipiga story za eNewz na kusema kuwa matatizo ni kweli yametokea lakini akamshauri Nuh Mziwanda ni vyema kwa sasa wakatafuta namna ya kumaliza mzozo […]

Read More..

Wastara Alamba Dili Nono

Post Image

NYOTA inawaka! Diva wa filamu za Kibongo Wastara Juma, amepata dili jipya baada ya kusaini mkataba utakaomwingizia fedha nyingi. Mkataba aliosaini Wastara ni wa kuwa balozi wa simu ya KZG ambayo hutengenezwa na Kampuni ya KZG kutoka China, ambapo atakuwa na uhakika wa kulamba milioni 400 kwa mwaka. Tukio la kusaini mkataba huo lilifanyika Septemba […]

Read More..

Kufanya Collabo na Man Fongo ni Hadi 2020- ...

Post Image

Msanii wa Bongo Fleva nchini TID amesema atakuwa tayari kufanya kazi na msanii maarufu wa Singeli nchini Man Fongo ifikapo mwaka 2010 na siyo kwa sasa. TID ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV kila siku ya Ijumaa, na kuweka bayana kwamba kwa sasa ana mambo mengi na kzi nyingi […]

Read More..

Diamond Amuombea Kura Alikiba,MTV EMA 2016

Post Image

Kuna uwezekano mkubwa kukawa hakuna bifu kati ya Alikiba na Diamond lakini wapo wachache wanaokuza hilo jambo kwa maslahi yao binafsi. Diamond ameonekana kulipa fadhila kwa Alikiba baada ya kumuombea mashabiki wampigie kura kwenye tuzo ya MTV EMA 2016 akiwa msanii pekee kutoka Afrika Mashariki anayewania tuzo hiyo.   Kiba atachuana na wasanii wengine wakiwemo […]

Read More..

Jengua Afunguka Haya Kuhusu Kukuza Vipaji v...

Post Image

Mzee Mohammed Fungafunga maarufu katika tasnia ya filamu kama Jengua amefunguka na kusema anaweza kufanya filamu hata bure ili kuwasaidia wasanii wachanga waweze kutoka katika tasnia ya filamu nchini. Amesema anafanya hivyo kwa kuwa anatambua kuwa ni lazima waweze kukuza watu wengine kwenye tasnia ya filamu kwani wao umri umeshakwenda. Mzee Jengua alisema hayo kwenye […]

Read More..