-->

Daily Archives: October 2, 2016

Darasa, Billnas Wamshukuru Mwana FA kwa Kuw...

Post Image

Rapa wawili ambao kwa sasa wanafanya vizuri kwenye muziki wa bongo Darasa pamoja na Billnas wamefunguka na kutoa shukrani kwa msanii Mwana FA baada ya msanii huyo kuwatambua na kusema kuwa anawakubali wasanii hao kama wasanii wanaofanya vyema kwa sasa kwenye muziki wa Hip hop. Mwana FA alisema kuwa Billnas pamoja na Darasa ni wanamuziki ambao […]

Read More..

TID, Nature, Inspekta Haroun, Adili Kusikik...

Post Image

‘Karibu Kiumeni’ haitarajiwi tu kuja kuwa filamu ya Bongo yenye mafanikio zaidi kuwahi kutokea, bali pia itakuwa filamu ya kwanza iliyokutanisha mastaa wengi zaidi wa Bongo Flava kurekodi original soundtrack yake. P-Funk Majani ndiye mtayarishaji mkuu wa soundtrack ya filamu hiyo inayotarajiwa kutoka December mwaka huu. Soundtrack itajumuisha orodha ndefu ya mastaa wa Bongo Flava […]

Read More..

Diamond Aeleza Sababu za Kukataa Kuwa Chini...

Post Image

Diamond Platnumz alitosa kusainishwa na label inayomilikiwa na Jay Z, Roc Nation. Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM, staa huyo alisema hiyo ni moja tu ya label kubwa za Marekani alizozitolea nje. “Wakati nipo BET, Roc Nation walinifuata wakitaka wanisaini,” alisema Diamond. “Acha Roc Nation kuna baadhi ya record label nyingi sana […]

Read More..

Kidoa Afungukia Bifu Lake na Masogange Juu ...

Post Image

Video Queen maarufu hapa Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ ambae kwa sasa amejikita kwenye uigizaji, amefungukia swala la bifu kati yake na Video Queen mwenzake, Agnes Gerald. Iliwahi kuripotiwa kuwa, Kidoa alikuwa kwenye bifu zito na mrembo  mwenzake, Agnes Gerald maarufu Masogange, kisa kikielezwa ni kugombea penzi la staa wa filamu za Kibongo, Rammy Galis; Kidoa anasema […]

Read More..