-->

Daily Archives: October 8, 2016

Muna Afungukia Madai ya Kumuingiza Wema Kwe...

Post Image

Mrembo aliyewahi kufanya vyema kwenye tasnia ya maigizo Bongo, Rose Alphonce ‘Muna’, amefungukia madai ya watu kumtuhumu kuwa amemwingiza shosti wake Wema Sepetu ‘Madam’ kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kwa kusema madai hayo hayana ukweli. Akizungumza na paparazi wetu, Oktoba 5, mwaka huu, Muna alisema mbali na kumhusisha kumwingiza Wema kwenye madawa hayo, amekuwa […]

Read More..

Barafu: Kutoka Sonara Mpaka Staa wa Filamu

Post Image

KAMA wewe ni mfuatiliaji wa filamu za kibongo, basi jina la Suleiman Abdallah ‘Barafu’ litakuwa si geni masikioni mwako. Barafu amewahi kuonekana kwenye filamu nyingi, kama vile Shoe Shine, Jamani Mwanangu , Daladala, House Boy, Sindano ya Moto, Pasuko la Moyo, Nesi, Selena, Babylon, Curse of Marriage, One Night,  Last Card,  The Long Story na DNA. Swaggaz imepata nafasi ya […]

Read More..

Diamond Afunguka Kuhusu ‘Salome’...

Post Image

Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anavizuri na wimbo wake ‘Salome’ amefunguka na kusema kuwa wimbo huo uliwavuruga wasanii wengi wakubwa duniani kabla hajatoka hata baada ya kutoka. Diamond Ploatnumz alisema hayo kwenye Friday Night Live (FNL) na kudai kuwa wimbo huo yeye mwenyewe anashindwa kuelewa una nini kutokana na jinsi ambavyo […]

Read More..

Mashabiki Wanadhani Nimeacha Kuigiza – Sh...

Post Image

Malkia wa filamu Shamsa Ford amesema anapokea maswali mengi kutoka kwa mashabiki wake wakimuuliza kama ni kweli ameacha kuigiza baada ya kuingia kwenye maisha ya ndoa. Mwigizaji huyo ambaye alifunga ndoa mwezi mmoja na nusu uliopita na mfanyabishara wa maduka ya nguo, Chidi Mapenzi, amesema ndoa haiwezi kumtenganisha na mashabiki wake wa filamu. “Kusema kweli […]

Read More..